Mkasa wangu


utakuja kuishia ya kwamb anataka mrudiane nawew utakubali tuuu.
 
Sijakulazimisha uje kusoma brother

hapa tunasoma kila maada kwa lengo la kutoa msaada wa mawazo n.k. Sasa ww hapo unatuletea usengerema wakujifanya ulisahau.
Utapokoshwa mpaka uzeen shaur yako
 
Huu ujinga sio wakuendelezwa! Unadhan watu hawana kazi, umesahau hii n awamo ya tano! Ngoja nimuite uncle aje atumbue n hili jipu
 
mabwiku unazingua yani dah!utamu unakuja utam unakata,.ukirudi nistue aisee
 
Unajua jamaa unataka maneno machafu mwenyewe...sasa unaleta habar afu unapotea maana yake nini...huo siyo mapango wala nn na me naunga mkono wakushushie rundo la maneno maana haiwezekan unakata watu stimu afu unadai ufanyiwe ustaarabu
 
SACCOS au VICOBA?
 
Huu ujinga sasa unaleta mambo ya bongo mivie? Sisomi tena nawaomba mods waufute kabisa huu uzi. Maana unatuletea ungese
 
Wale wajinga wa bongo movie kwanini usiwaandikie script?
Habari/stori imetulia sana
 
Naomba nkununulie powerbank kabisaa
 
Huu ujinga sasa unaleta mambo ya bongo mivie? Sisomi tena nawaomba mods waufute kabisa huu uzi. Maana unatuletea ungese
izi waga naziita akili za kushikiwa,,,..endelea kuropoka..
 
Brother nimeamua kuachana nayo hii simulizi,watu wanauzi sana utazani wananilipa muda naopoteza kuandika hapa,see you next time..

Mkuu nmaliZie bas hata kwa pm tafadhal tusifike huko haya ni maneno ya mmu yazoee tu na ndio raha ya hiki kila mtu akiwa upande mmoja tutakosa challenge
 
Mkuu nmaliZie bas hata kwa pm tafadhal tusifike huko haya ni maneno ya mmu yazoee tu na ndio raha ya hiki kila mtu akiwa upande mmoja tutakosa challenge
kwa ujumbe wako nimeweza kuelewa,narudi mkuu namalizia kijikaz flan apa then napost tena,,wewe ndio umefanya narud tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…