Mkasa wa maisha yangu

Status
Not open for further replies.
Mkuu utakuwa umefananisha majina.

Nakumbuka Mh. Michael Mbaga aligombea udiwani Upanga Magharibi Jiji Dar kupitia CCM akapita, kwa hiyo hawezi kuwa huyu kijana!

Unatumia multiple ID's au mchongo huu mpo mtu mbili?mwache muhusika ahojiwe na uma.
 
Kulikua na group kabisa FANIKISHA USHINDI WA Mbaga Michael. hii thread imenifanya niwaze sana, btw napenda sana vijana wenye kiu ya elimu nipo tayari kumchangia endapo Mods watathibitisha ukweli wa ombi hili kama wadau walivyo omba.

amenishangaza! Kutoka kwenye harakati za kugombea ubunge hadi QT,hii haiwezi ikawa sirias,labda km wanafanana
 
Mkuu utakuwa umefananisha majina.

Nakumbuka Mh. Michael Mbaga aligombea udiwani Upanga Magharibi Jiji Dar kupitia CCM akapita, kwa hiyo hawezi kuwa huyu kijana!

hapana yeye alikuwa anampango wa kugombea ubunge,huko mwanza na alikuwa mwanafunzi wa chuo.
 
amenishangaza! Kutoka kwenye harakati za kugombea ubunge hadi QT,hii haiwezi ikawa sirias,labda km wanafanana

Ni kweli mkuu, Bw. Michael Mbaga ni Diwani wa Upanga Mashariki kupitia CCM.
 
Unatumia multiple ID's au mchongo huu mpo mtu mbili?mwache muhusika ahojiwe na uma.

Multiple ID's za kazi gani mkuu, yaani kukanusha kwamba Bw. Mbaga ambaye alikuwa akigombea Udiwani Upanga Mashariki siyo huyu Jamaa ndiyo umeamua kuni-suspect kwamba natumia ID mbili?

Jaribu kuwa matured kidogo.
 
We tulia kwanza,huyo jamaa tunataka kumnasa.
 
Lulu..
 
Huyu Mbaga Michael ni tapeli aliwahi kuomba mchango wa kumtibia babake kule facebook 2011, alidai kalazwa bugando hutu.
 
amenishangaza! Kutoka kwenye harakati za kugombea ubunge hadi QT,hii haiwezi ikawa sirias,labda km wanafanana
hapana yeye alikuwa anampango wa kugombea ubunge,huko mwanza na alikuwa mwanafunzi wa chuo.
Ila kama mnatoa hitimisho kwa kuangalia majina facebook then unahitimisha ndo mwenyewe, sio sahihi.Majina fb yanafanana mengi...
Picha lenyewe ndio hili.
Unamfaham kwa sura huyu mtu,I mean mmeshawahi kujumuika pamoja katika event yoyote? Haya madai hapo juu ni sahihi,na unatumia jina hilo facebook.Thibitisha japo umesema toka mwaka jana upo Dodoma na kituo chako ni Mvumi sec center...Imeniuma kweli ila uhakika ukitolewa nitachangia.
 
Nafikiri wenye upeo mmeanza kunielewa.

Mkuu weka ukweli hadharani maana wewe ndiyo mtu wa kwanza kumsemea vibaya huyu Mbaga Michael

Na kama unadanganya kwa kukusudia ili asipate msaada basi utahukumiwa kwa hilo,..
 
Last edited by a moderator:
Mkuu weka ukweli hadharani maana wewe ndiyo mtu wa kwanza kumsemea vibaya huyu Mbaga Michael

Na kama unadanganya kwa kukusudia ili asipate msaada basi utahukumiwa kwa hilo,..

Acha upuuzi wewe,una uhakika gani Kama namsema vibaya.Baadhi ya watu si unaona wanavyothibitisha hadi muhusika kaingia gizani.
 
Last edited by a moderator:
hapana yeye alikuwa anampango wa kugombea ubunge,huko mwanza na alikuwa mwanafunzi wa chuo.

Kabisa, Tena Sio Kupitia CCM ni kupitia Chadema. Cha Ajabu sasa jina la hapa jf na mambo ya QT na maombi ya msaada inachanganya.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…