msolopaganzi1954
JF-Expert Member
- Nov 20, 2018
- 763
- 379
- Thread starter
- #61
Sana....NimekomaHahaahaaa.....![]()
![]()
![]()
Pole sana mkuu, naona ulikomaa kiume....tehteehh![]()
![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Sana....NimekomaHahaahaaa.....![]()
![]()
![]()
Pole sana mkuu, naona ulikomaa kiume....tehteehh![]()
![]()
![]()
PointMkuu hiyo asubuhi ungekula mzigo kabla ya kusepa,
Ila pole sana,unakutana na mtu mda mfupi unajiamini kwenda kwake,utakufa mkuu..usifanye hiyo kitu tena
pole mkuu umenikumbusha mbali sana
Duuuuuuh wewe Ungeweza... Jamaa msukuma Mara Ndo karudi kasahau Kituchief....si ungepiga kimoja atleast baada ya mumewe kuondoka
Dah Siwezi Sahau kakaDah una bahati wangeweza kukufanya mbaya endapo wangekudaka, dont trust any body, hutakiwi kwenda kwa mwanamke, yaani sio tu nyumbani kwake bali hata ikionekana yeye anakuelekeza lodge flan ni hatari hasa unapokua ugenini maana hujui anawaza nini
Nadhani Ndo ungekuwa mwisho Wanguvipi ungepata chafya ya ghala mkuu...kama nakuona vile hapo nyuma ya sofa. kojo linagonga hahaaa
Duuh! yani hapo ulienda kama Mpenzi Mtazamaji tu!
Ha ha ha ha,,ebu lete taarifa jamaa alitumia muda gani kumkaza mkewe?pole sana mkuu kama nakuona vile unavyotokwa jasho nyuma ya kochi
Sent using Jamii Forums mobile app
YAANI UKASIKIA NA MILIO KABISA HAHAHA UKAWA UNAGUGUMIA MAUMIVU
kuepuka gharama za lodgeWabongo hua hatujifunzi yanayotokea wenzetu..unaendaje kumla mwanamke kwake?
Sent using Jamii Forums mobile app