Mkasa Wa Kweli kunitokea

Mkasa Wa Kweli kunitokea

Kwenda kwa mwanamke au lodge/ hotel atakayopropose mwanamke ni kitendo cha hatari Sana.

Shukuru Mungu uko salama
.....Nilikuwa Mwanza Katika ujenzi Wa Minala.... Nikabahatika kumpata mrembo mmoja, akaniambia yuko Single na Amepanga si Mbali na pale Tulipofikia... Ajabu sasa Mida Ya Saa 4 Usiku 3 Usiku nikatimba magetoni.. Kabla Sijaanza Mgegeda... HODI inapigwa... Duhh kumbeka kaolewa Na mumewe ndo Karudi... Duuh Hofu ikanijaa Sana Nikaingia nyuma ya Sofa Kubwa Lakini sandos Nikazisahau pale Karibu na mlango... Mwanamke akazitupia uvunguni. Kumbe mzee baba Kaja na mchizi wake... Duuuuuuh Hofu ikazidi Sana..

Mwanamke akawa anajifanya Kama Kachoka Sana.... Na ajisikii kupika kwani jamaa Alikuwa anadai Wana Njaa na wanataka Ugali mkubwa.
Kuona mwanamke kachoka Yule Mr Akamtuma Yule jamaa Akanunue samaki yeye anapika ugali kwa Kutumia jiko la Mafuta... Jamaa akarudi wakala ugali jamaa Akaaga sasa Ajabu jamaaa Hata Hajamsindikiza Kaishia mlangoni.. Kavaa Taulo Kaunda Kuoga mlango Kaufunga kwa Nje..
....Mida Kidogo Kazima Taa Kama nusu Saa Hizi Kaanza KUMTAFUNA MKEWE haswaa mikelele Kama yote.. Dah Nikaanza Kuona Wivu.
Kuna wakati niliinuaka pale nilipokuwa na kuanza Kuwachungulia ...
Wakalala kabisa Na Kukoroma Juu.... Ila Mimi nilijitahidi kuwa Macho.. Mida ya Kumi hivi, nikasikia Hodi jamaa mmoja anagonga na Kumwambia jamaa Kumekucha wawahi.. Sikujuha kama ni Yule jamaa WA Usiku Au Lah.
Jamaa aakaamka akajiandaa na wakatoka.. Nilikaa Kama Nusu Sara Mwanamke Akanifata na kuniambia baby POLE sana... nilimkata jicho baya... Nikachukua viatu Vyangu nikaenda valia nje Tena Umbali mrefu Tu.

#Somo,Nimekoma Kwenda kwa Mwanamke

Mbaya Sana Hii Kitu Wadau

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona husemi ulivyojikojolea? Jinga sana mtelemko utakutatulisha malinda.
 
Sijui ungebanwa kunya tena uharisho unge employ mautundu gani kutatua tatizo.
 
YAANI UKASIKIA NA MILIO KABISA HAHAHA UKAWA UNAGUGUMIA MAUMIVU
 
Dah hadithi imenikumbusha mbali sana hii. jamaa alienda kwa dem mke wa mtu alipoanza kugegeda mzee akarudi yaliyotokea sitayaandika hapa
 
Ni kuwa makini tu;ukisikia binti anajitegemea yuko kwake au amepanga ni bora ukutane naye kwako au nyumba za wageni kuliko nyumbani kwake,kinyume na hapo unatafuta kifo.
 
Yani ungempiga cha fasta ndio ungeondoka,kwa risk uliyo take like business...
 
Una bahati sana wangegundua kuwa umo ungeambulia kifiro!
.....Nilikuwa Mwanza Katika ujenzi Wa Minala.... Nikabahatika kumpata mrembo mmoja, akaniambia yuko Single na Amepanga si Mbali na pale Tulipofikia... Ajabu sasa Mida Ya Saa 4 Usiku 3 Usiku nikatimba magetoni.. Kabla Sijaanza Mgegeda... HODI inapigwa... Duhh kumbeka kaolewa Na mumewe ndo Karudi... Duuh Hofu ikanijaa Sana Nikaingia nyuma ya Sofa Kubwa Lakini sandos Nikazisahau pale Karibu na mlango... Mwanamke akazitupia uvunguni. Kumbe mzee baba Kaja na mchizi wake... Duuuuuuh Hofu ikazidi Sana..

Mwanamke akawa anajifanya Kama Kachoka Sana.... Na ajisikii kupika kwani jamaa Alikuwa anadai Wana Njaa na wanataka Ugali mkubwa.
Kuona mwanamke kachoka Yule Mr Akamtuma Yule jamaa Akanunue samaki yeye anapika ugali kwa Kutumia jiko la Mafuta... Jamaa akarudi wakala ugali jamaa Akaaga sasa Ajabu jamaaa Hata Hajamsindikiza Kaishia mlangoni.. Kavaa Taulo Kaunda Kuoga mlango Kaufunga kwa Nje..
....Mida Kidogo Kazima Taa Kama nusu Saa Hizi Kaanza KUMTAFUNA MKEWE haswaa mikelele Kama yote.. Dah Nikaanza Kuona Wivu.
Kuna wakati niliinuaka pale nilipokuwa na kuanza Kuwachungulia ...
Wakalala kabisa Na Kukoroma Juu.... Ila Mimi nilijitahidi kuwa Macho.. Mida ya Kumi hivi, nikasikia Hodi jamaa mmoja anagonga na Kumwambia jamaa Kumekucha wawahi.. Sikujuha kama ni Yule jamaa WA Usiku Au Lah.
Jamaa aakaamka akajiandaa na wakatoka.. Nilikaa Kama Nusu Sara Mwanamke Akanifata na kuniambia baby POLE sana... nilimkata jicho baya... Nikachukua viatu Vyangu nikaenda valia nje Tena Umbali mrefu Tu.

#Somo,Nimekoma Kwenda kwa Mwanamke

Mbaya Sana Hii Kitu Wadau

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu baada ya mateso yote ya usikukucha iyo asubuhi baada ya mme wake kuondoka hukutaka tena kumgegeda?
Mi ningemgegeda ata kimoko kupoza machungu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom