General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,316
- 23,178
Sasa Mkuu,
Unatuletea mada zilizokosa nidham za kutembea na wake za watu unataka tuwe serious?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Mkuu,
Chai.....Nilikuwa Mwanza Katika ujenzi Wa Minala.... Nikabahatika kumpata mrembo mmoja, akaniambia yuko Single na Amepanga si Mbali na pale Tulipofikia... Ajabu sasa Mida Ya Saa 4 Usiku 3 Usiku nikatimba magetoni.. Kabla Sijaanza Mgegeda... HODI inapigwa... Duhh kumbeka kaolewa Na mumewe ndo Karudi... Duuh Hofu ikanijaa Sana Nikaingia nyuma ya Sofa Kubwa Lakini sandos Nikazisahau pale Karibu na mlango... Mwanamke akazitupia uvunguni. Kumbe mzee baba Kaja na mchizi wake... Duuuuuuh Hofu ikazidi Sana..
Mwanamke akawa anajifanya Kama Kachoka Sana.... Na ajisikii kupika kwani jamaa Alikuwa anadai Wana Njaa na wanataka Ugali mkubwa.
Kuona mwanamke kachoka Yule Mr Akamtuma Yule jamaa Akanunue samaki yeye anapika ugali kwa Kutumia jiko la Mafuta... Jamaa akarudi wakala ugali jamaa Akaaga sasa Ajabu jamaaa Hata Hajamsindikiza Kaishia mlangoni.. Kavaa Taulo Kaunda Kuoga mlango Kaufunga kwa Nje..
....Mida Kidogo Kazima Taa Kama nusu Saa Hizi Kaanza KUMTAFUNA MKEWE haswaa mikelele Kama yote.. Dah Nikaanza Kuona Wivu.
Kuna wakati niliinuaka pale nilipokuwa na kuanza Kuwachungulia ...
Wakalala kabisa Na Kukoroma Juu.... Ila Mimi nilijitahidi kuwa Macho.. Mida ya Kumi hivi, nikasikia Hodi jamaa mmoja anagonga na Kumwambia jamaa Kumekucha wawahi.. Sikujuha kama ni Yule jamaa WA Usiku Au Lah.
Jamaa aakaamka akajiandaa na wakatoka.. Nilikaa Kama Nusu Sara Mwanamke Akanifata na kuniambia baby POLE sana... nilimkata jicho baya... Nikachukua viatu Vyangu nikaenda valia nje Tena Umbali mrefu Tu.
#Somo,Nimekoma Kwenda kwa Mwanamke
Mbaya Sana Hii Kitu Wadau
Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa ulikuwa unamkata jicho la nini mtu alikuwa anampa mumewe haki yake ulitaka akatae? Na kwa nini hukunyata utoke usiku wakiwa wamelala?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikujuha Kama mke wa mtu... Jaribu soma Uelewe.. Alinidanganya huyu Mwanamke akuwa Sawa KabisaSasa Mkuu,
Unatuletea mada zilizokosa nidham za kutembea na wake za watu unataka tuwe serious?
Sent using Jamii Forums mobile app
Amesema hakujua kuwa yule mwanamke ameolewa na yawezekana alishamuuliza akakataa ivi unacheza na hawa viumbe (baadhi) wewe eti! Kikubwa m nampa pole tu kwa kutoka salamaSasa Mkuu,
Unatuletea mada zilizokosa nidham za kutembea na wake za watu unataka tuwe serious?
Sent using Jamii Forums mobile app
Asant kuyaheshimu kuna jama kisha leta uzi kama huu apa ila tofaut ni :yeye kajificha kwenye roof ya nyumba wewe kweny sofa apo ndo mnatofautiana!!
pole mkuu umenikumbusha mbali sana.....Nilikuwa Mwanza Katika ujenzi Wa Minala.... Nikabahatika kumpata mrembo mmoja, akaniambia yuko Single na Amepanga si Mbali na pale Tulipofikia... Ajabu sasa Mida Ya Saa 4 Usiku 3 Usiku nikatimba magetoni.. Kabla Sijaanza Mgegeda... HODI inapigwa... Duhh kumbeka kaolewa Na mumewe ndo Karudi... Duuh Hofu ikanijaa Sana Nikaingia nyuma ya Sofa Kubwa Lakini sandos Nikazisahau pale Karibu na mlango... Mwanamke akazitupia uvunguni. Kumbe mzee baba Kaja na mchizi wake... Duuuuuuh Hofu ikazidi Sana..undefinedMwanamke akawa anajifanya Kama Kachoka Sana.... Na ajisikii kupika kwani jamaa Alikuwa anadai Wana Njaa na wanataka Ugali mkubwa.Kuona mwanamke kachoka Yule Mr Akamtuma Yule jamaa Akanunue samaki yeye anapika ugali kwa Kutumia jiko la Mafuta... Jamaa akarudi wakala ugali jamaa Akaaga sasa Ajabu jamaaa Hata Hajamsindikiza Kaishia mlangoni.. Kavaa Taulo Kaunda Kuoga mlango Kaufunga kwa Nje......Mida Kidogo Kazima Taa Kama nusu Saa Hizi Kaanza KUMTAFUNA MKEWE haswaa mikelele Kama yote.. Dah Nikaanza Kuona Wivu.Kuna wakati niliinuaka pale nilipokuwa na kuanza Kuwachungulia ...Wakalala kabisa Na Kukoroma Juu.... Ila Mimi nilijitahidi kuwa Macho.. Mida ya Kumi hivi, nikasikia Hodi jamaa mmoja anagonga na Kumwambia jamaa Kumekucha wawahi.. Sikujuha kama ni Yule jamaa WA Usiku Au Lah.Jamaa aakaamka akajiandaa na wakatoka.. Nilikaa Kama Nusu Sara Mwanamke Akanifata na kuniambia baby POLE sana... nilimkata jicho baya... Nikachukua viatu Vyangu nikaenda valia nje Tena Umbali mrefu Tu.undefined#Somo,Nimekoma Kwenda kwa MwanamkeundefinedMbaya Sana Hii Kitu WadauundefinedSent using Jamii Forums mobile app
Dah una bahati wangeweza kukufanya mbaya endapo wangekudaka, dont trust any body, hutakiwi kwenda kwa mwanamke, yaani sio tu nyumbani kwake bali hata ikionekana yeye anakuelekeza lodge flan ni hatari hasa unapokua ugenini maana hujui anawaza nini.....Nilikuwa Mwanza Katika ujenzi Wa Minala.... Nikabahatika kumpata mrembo mmoja, akaniambia yuko Single na Amepanga si Mbali na pale Tulipofikia... Ajabu sasa Mida Ya Saa 4 Usiku 3 Usiku nikatimba magetoni.. Kabla Sijaanza Mgegeda... HODI inapigwa... Duhh kumbeka kaolewa Na mumewe ndo Karudi... Duuh Hofu ikanijaa Sana Nikaingia nyuma ya Sofa Kubwa Lakini sandos Nikazisahau pale Karibu na mlango... Mwanamke akazitupia uvunguni. Kumbe mzee baba Kaja na mchizi wake... Duuuuuuh Hofu ikazidi Sana..