Mkasa Wa Kweli kunitokea

Kwenda kwa mwanamke au lodge/ hotel atakayopropose mwanamke ni kitendo cha hatari Sana.

Shukuru Mungu uko salama
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona husemi ulivyojikojolea? Jinga sana mtelemko utakutatulisha malinda.
 
Sijui ungebanwa kunya tena uharisho unge employ mautundu gani kutatua tatizo.
 
YAANI UKASIKIA NA MILIO KABISA HAHAHA UKAWA UNAGUGUMIA MAUMIVU
 
Dah hadithi imenikumbusha mbali sana hii. jamaa alienda kwa dem mke wa mtu alipoanza kugegeda mzee akarudi yaliyotokea sitayaandika hapa
 
Ni kuwa makini tu;ukisikia binti anajitegemea yuko kwake au amepanga ni bora ukutane naye kwako au nyumba za wageni kuliko nyumbani kwake,kinyume na hapo unatafuta kifo.
 
Yani ungempiga cha fasta ndio ungeondoka,kwa risk uliyo take like business...
 
Una bahati sana wangegundua kuwa umo ungeambulia kifiro!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu baada ya mateso yote ya usikukucha iyo asubuhi baada ya mme wake kuondoka hukutaka tena kumgegeda?
Mi ningemgegeda ata kimoko kupoza machungu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…