Mkasa wa kusisimua

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,822
Reaction score
5,425
mdada mmoja alitoka benki kuchukua mbolea.kufika njiani akakutana na mke wake ambaye aliachana nae miaka 2 ijayo.sasa wakati wanapanda ile pantoni akatokea trafiki akamkamata yule mbabu.akahukumiwa miaka 6 jela
 
huku naona nimepotea!
 
ugoro ni mbaya na athari zake ni mbaya kuliko jani!!! stori imesisimua mno
 
teh teh dj umetisha nitasismuka siku nzima.
 
Maskiniii..!! Inasisimua kweeeeli.
Kama ni mimi ningekufa hapohapo ila ameonesha ujasiri sana

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Muwe na kiasi cha sisimko!
Mkikithirisha kusisimka mwishoe mtapizi !
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…