Mkasa wa kusikitisha Dodoma: Msaidizi wa kazi anyanyaswa na mwajiri wake, mtoto wake mchanga afungiwa ndani ya kabati kwa miezi 6

Kama nilivyotumiwa
Ukhty Leo Nina mkasa nimeukuta hospitali ya mkoa wa Dodoma nilienda kusalimia wagonjwa,nikakuta binti wa kazi amelazwa kapigwa na boss wake mpk kamjeruhi,,,kisa alichelewa kuamka kumchemshia maji ya kuoga huyo mama ambae ni mwalimu wa shule ya msingi mlimwa C iliyopo hapa mjini Dodoma. Binti anaonekana kidogo anamatatizo ya akili japo anajielewa vzr,alipata ujauzito boss wake akamwambia asiseme kwa yeyote km ana mimba,mpk kajifungua kamwambia asiwaambie ht majirani km ana mtoto kwan hapo hakuja kuzaa bali alikuja kumlelea watoto wake,kwahiyo huyo mtoto akawa anamfungia kweny kabat lake la nguo huyo boss ili majiran wasisikie sauti ya mtoto kwa muda wa miezi mitano had Jana alipompiga had akazimia ndo siri ikagundulika,,binti yupo Hosp na mwanae,hali ya hako katoto ni ngumu mnoooo,ukiambiwa anamiez mitano huwezi kuamini,kwakweli nimeumia had nimeliaaaa,,,sijaamini sisi wanawake km ni wakatili kwa kiwango hiki,nimeumia mnooo km utaona yafaa peleka kwa group wamama wengine waone unyama huu na wenye roho za kiuaji km hizi waache tafadhari
Duu sheria ichukue mkondo wake haraka

Jr
 
Kama nilivyotumiwa
Ukhty Leo Nina mkasa nimeukuta hospitali ya mkoa wa Dodoma nilienda kusalimia wagonjwa,nikakuta binti wa kazi amelazwa kapigwa na boss wake mpk kamjeruhi,,,kisa alichelewa kuamka kumchemshia maji ya kuoga huyo mama ambae ni mwalimu wa shule ya msingi mlimwa C iliyopo hapa mjini Dodoma. Binti anaonekana kidogo anamatatizo ya akili japo anajielewa vzr,alipata ujauzito boss wake akamwambia asiseme kwa yeyote km ana mimba,mpk kajifungua kamwambia asiwaambie ht majirani km ana mtoto kwan hapo hakuja kuzaa bali alikuja kumlelea watoto wake,kwahiyo huyo mtoto akawa anamfungia kweny kabat lake la nguo huyo boss ili majiran wasisikie sauti ya mtoto kwa muda wa miezi mitano had Jana alipompiga had akazimia ndo siri ikagundulika,,binti yupo Hosp na mwanae,hali ya hako katoto ni ngumu mnoooo,ukiambiwa anamiez mitano huwezi kuamini,kwakweli nimeumia had nimeliaaaa,,,sijaamini sisi wanawake km ni wakatili kwa kiwango hiki,nimeumia mnooo km utaona yafaa peleka kwa group wamama wengine waone unyama huu na wenye roho za kiuaji km hizi waache tafadhari🙏🏼
Na yeye afungiwe kabatini shwaini mmoja huyo.
 
Walimu wengi wa kike hawana roho nzuri hasa kwa wanawake wenzao, ni kama vile wapo frustrated, kuna mmoja alikuwa anampa dada wa kazi nguo zake za ndani na za mumewe azifue.
 
Mkuu nakushauri siku nyingine mada kama hizi breki ya kwanza polisi wengine tuna hasira za haraka tunaweza kumfanyia kitu mbaya au baadhi yetu wanaanza kutoa lugha chafu mtandaoni kwa sababu ghadhabu na ukatusababishia kuvunja amani mtandaoni niwape pole waliochafuliwa na mada hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jambo hili angelifanya mpemba au mtu mwenye asili ya uarabu ungeona watanganyika wanavopiga makelele. Hii mijitu mikatili sana na wala haina ustaarabu wa maisha
 
Haha mama taaluma yake ni mwalimu " ... anatufundishia watoto wetu " Ambao tunatarajia kupitia mafundisho yake " watakuja kuwa ni watoto bora walio elimika staarabika na ndio mfano bora wa baadae wakuigwa katika jamii (refer watoto ni taifa la kesho )

So kwa huu unyama alio utenda kwa huyo dada wa kazi " Ni wazi ya kwamba kuna haja ya sisi kuwatizama watoto wanaofundishwa na huyo mwalimu kuwa ni wahanga " wakuu wanao athirika kwa tabia mbovu za huyo mama " akiendelea kuacha basi tutaraji kujua kuwa na kizazi cha jamii iliyojaza wana taaluma mbali mbali wenye roho katili kama yake "

zinazo pelekea watoto wetu kuiga tabia zake mbovu za unyanyapaa na manyanyaso " Tabia ambazo huja kuchochea taifa letu kuja kuwa na kizazi cha watu katili waliokosa utu nastaha katika Jamie yetu " (kama jiwe)
Jamii yetu inamtambua mwalimu kuwa nimlezi wa pili baada ya mzazi " so tunataraji kuwa na kizazi cha namna gani hapo baadae" ikiwa mlezi huyu tuliye mkabidhi mamlaka ya kuwaelimisha watoto wetu maisha yake yamezungukwa na tabia hizi korofi zilizo kosa Utu " ...

Huyo hafai hata kuwa mwalimu tena kwa sababu watoto wetu watakuwa ni wahanga wa tabia zake so anapaswa kufukuzwa kazi na kuwajibishwa kisheria " ili iwe fundisho kwa wengine

Sent using Jamii Forums mobile app

Waalimu wengi wana stress sana
Hasa wa shule ya msingi

Kuna mmoja kajinyonga juzi
 
Back
Top Bottom