Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 10,372
- 6,881
- Thread starter
- #1,941
KILE ALICHOFANYA KB KWENYE MADHABAHU YA KANISA A J2 ILIYOPITA
ALIRUSHA PEPO KWENYE MADHABAHU YA KANISA JIPYA NA HATIMAYE KU-ILINK MADHABAHU HIYO NA MADHABAHU ILE YA KANISA LA ZAMANI
KB alirusha pepo kwenye madhabahu ya Kanisa jipya ikiwa ni pamoja na ku-iconnect madhahabahu hiyo na ile ya Kanisa la zamani
Alifanya hivyo alipokuwa akisema kuwa kabla ya J2 hiyo, aliwahi kuhudumu Kanisani hapo mara moja wkati waumini walipokuwa bado wanaabudu kwenye Kanisa la zamani
Maneno hayo ya KB yanaweza kuwa ni ya kweli iwapo tu KB alifanya hivyo katika kipindi kile ambacho mhusika alikuwa yupo Kanisa B; na ambako ndiyo kule hata yeye KB alikuwepo kipindi hicho
Vinginevyo linaweza kuwa lilikuwa ni changa la macho ukizingatia kuwa ilikuwa ni mara ya kwanza kwa mhusika kumuona Kiongozi huyu akihudumu kwenye madhabahu ya Kanisa A
Zaidi ni kuwa ni kitu cha kawaida sana mgeni kukaribishwa Kanisa A halafu akaanza kuongea uongo akiwa amesimama juu ya madhabahu,
Mfano mwingine halisi ni J2 ya wiki kadhaa zilizopita pale ambapo mgeni mmoja alikaribishwa kulisalimia Kanisa na akaanza kusifia ujenzi huku akisema ni mara yake ya kwanza kufika Kanisani hapo, ilhali mwanzoni tu wa mwaka 2012 mgeni huyu aliwahi kuwepo Kanisani hapo. Ni yule mgeni ambaye ana uhusiano na BIBI aliyewahi kuwa mmiliki wa Kiwanja cha Kanisa
KB alisema kuwa mara ya kwanza alipohudumu Kanisa A, ilikuwa ni wakati ule ambapo Kanisa la zamani lilikuwa bado linatumika, na hapo ndipo alipo-ilink madhabahu ya Kanisa la zamani na ile ya la sasa
Hata hivyo, madhabahu hiyo ya zamani imekuwa kwa muda mrefu iko linked na ile ya sasa isipokuwa possibly J2 iliyopita kuna kitu kilikuwa kimeenda kombo na hivyo KB kulazimika ku-RENEW link hiyo, na pengine ndiyo maana kwa mara ya kwanza madhabahu hiyo ilikuwa imezungushio uzio wa nguo
Katika hali ya kawaida, mara zote madhabahu hiyo huwa iko wazi bila kuwa imezungushiwa chochote
Mbali na hayo, madhabahu hiyo ya Kanisa la zamani imekuwa muda wote iko linked na ile ya Kanisa jipya na hii ya zamani ndiyo ile ambayo imekuwa iikitumika hasa kutengeneza faulo zote zinazopikwa kutokea Kanisani hapo, isipokuwa wao viongozi wa Kanisa A walivyo na akili nyingi, huwa hawajui kama mhusika anajua kuwa madhabahu hizo mbili ziko linked
Mhusika anajua hilo tangu siku nyingi sana nyuma isipokuwa tu Mungu bado hajasema naye namna ya kufanya ili aweze kuzitenganisha madhabahu hizo mbili zisiendelee kuwa na uhusiano tena MILELE; mhusika bado anausubiria wakati wa Bwana
In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA