#COVID19 Mkasa wa kipekee kuhusu pilikapilika za kujikinga na COVID-19

KWA UPANDE WA KANISANI:

BAADA YA CODE HII YA “GENE” AU “PHONOLOGY” KUWA IMEZINDULIWA RASMI NA KCCW-2 SIKU ALIPOTEMBELEA OFISINI KWA MHUSIKA


Pattern iliyoanza kujitokeza kuanzia pale ni kwamba kuna BAADHI YA MAJINA ambayo yalikuwa yakitajwa kutokea juu madhabahuni, AJALI MBAYA SANA ZA BARABANI ZILIKUWA ZINATOKEA

Ushahidi kuhusiana na swala hili mhusika alishawahi kuuleta humu ikiwa ni pamja na malalamiko yake

Hii ni kutokana na ukweli kuwa baada ya code hii kuzinduliwa; baadhi tu ya mambo machache yaliyotokea ni kama yafuatayo

  • Genes za kwenye mwili wa binadamu zilibadilika na kuwa “jini” na hivyo baadhi ya watu wanaweza kuwa walibadilika completely na kuwa “majini”
  • Majina ya waumini Kanisani na watu wengine mahali popote pale, yalibadilika na kuwa “Majini”
  • Vile vile neno “jina” lilibadilika na kuwa “jini”
Na mengine mengi ambayo sasa kwa ufafanuzi huu, msomaji mwenyewe anawexa sasa akayadadavua mwenyewe

Katika hili KM-A na Kinara wa Matangazo walihusika zaidi

Mbali na hilo, mhusika alikuwepo maeneo ya uwanja wa ndege akisindikiza wageni na hatimaye kubahatika pia kuonana na watu kadhaa aliowataja kwenye posts zilziopo hapo juu, siku ya J5 tarehe 21/09/2022

Kutokea siku hiyo, ilipofika J2 ya tarehe 27/11/2022, ajali ya kwanza kubwa ya ndege ilitokea nchini

Ni kwa sababu kwa wakati huo, vyombo vya usafiri vilianza kuwa vinabeba majini pia badala ya watu pekee

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
UPDATE: THURSDAY, 21ST MARCH 2024

KUHUSIANA NA HUU UTAALAMU WA MASWALA YA PHONOLOGY


Kwa kuzingatia yale ambayo mhusika tayari ameshayaleta humu jukwaani kuhusiana na swala hili la PHONOLOGY, posts zifuatazo nazo pia ziliwahi kwa namna moja au nyingine, kuhusiana na maswala hayo

Hata hivyo maelezo ambayo tayari yap hadi muda muda, yanajitosheleza na hivyo mhusika hana haja ya kutoa ufafanuzi wa ziaida kuhusiana na posts hizi

Posts mbili za kwanza ambazo ni #1,934 na #1,935; zilihusaiana na presentation iliyofanyika hivi karibuni ambayo host wa presentor wake alikuwa mu-EUROPE, na huku presenter akionyesha kuwa alikuwa na GENES zenye affliation hiyo

Mbali na hilo, hii ilikuwa pia ni presentation ambayo kwa mara ya kwanza Mkuu wa Idara Mstaafu 2015-2016 alihudhuria kwenye presentation

Vinginevyo, posts zingine mbili ambazo ni #1,931 na #1,772 , nazo pia zinaangukia kwenye swala hili la phonology, zikiwa zinahusiana na watumishi wawili waliofika Kanisa A kuja kuhudumu kwenye J2 moja wakiwa wanatokea kwenye Meli ya Vitabu iliyokuwa ipo bandarini, na ambayo ilikuwa iko scheduled kuondoka jioni ya J2 hiyo

Hawa walikuwa wametokea nje ya Afrika na kwenye mabara mawili tofauti na yenye GENES tofautii

Bado yapo mengi yanayohusiana na phonology au GENES ila kwa sasa mhusika anayaruka kidogo kwa ajili ya kuleta jambo jingine ambalo ni muhmiu zaidi

Taarifa nyingine zaidi kuhusiana na swala hili la phonology zitafuata tena baadaye

UP NEXT:

MAMBO MAKUU KUHUSIANA NA MUNGU, YALIYOWAHI KUTHIBITISHSHWA NA SEMINA ILIYOWAHI KUFANYIKA KANISA A MNAMO APRIL 2012 (MIAKA 12 ILIYOPITA) ILIYOKUWA NA KICHWA KILICHOSEMA “ROHO MTAKATIFU NA KANISA”

………………………inaendelea
 
MAMBO MAKUU KUHUSIANA NA MUNGU, YALIYOWAHI KUTHIBITISHSHWA NA SEMINA ILIYOWAHI KUFANYIKA KANISA A MNAMO APRIL 2012 (MIAKA 12 ILIYOPITA) ILIYOKUWA NA KICHWA KILICHOSEMA “ROHO MTAKATIFU NA KANISA”

“MUNGU NI GENERATOR; MUNGU NI THREE DIMENSIONS”


(Kiongozi Mkuu wa Kanisa-A (KM-A) hatapata tena gari lenye namba za 3D kwa sababu tayari zimeshapigwa marufuku, uwezekano mkubwa ni kwamba KM-A alikuwa anaagiza namba na siyo gari)

Kwa mujibu wa Maandiko Matakatifu Biblia, wiki sita baada ya Yesu kuwa amepaa kwenda Mbinguni, Roho Mtakatifu (RM) alishuka duniani kwa ajili ya kufanya kazi na Kanisa na ndiye alyepo hadi leo akiwa anafanya kazi na Wakristo wote walipo hapa duniani

Semina hiyo iliyofanyika Kanisani A mwaka Februari 2012, iliweza kuthibitisha mambo kadhaa kuhusiana RM kama ifuatavyo

  • Roho Mtakatifu (RM) ni MUNGU
  • Mungu anazo NAFSI TATU (3-DIMENSIONS)
  • Roho Mtakatifu ni NAFSI ya pili ya Mungu
  • Nafsi hii ya tatu ambayo ni RM, iko kwenye CHEO kimoja na nafsi zingine mbili zilizobaki
  • RM ni exactly of the SAME NATURE na nafsi zile zingine mbili
Kwa hiyo uthibitisho huu ulionyesha kuwa hapa RM ni THREE DIENSIONS

Mbali na hayo;

Semina hiyo iliweza pia kuthibitisha pasipo shaka mambo muhimu yafuatayo kwamba RM

  • Siyo Kifaa (not a TOOL)
  • Siyo Nishati (ENERGY)
  • Siyo FALSAFA (maelezo ya kitaalaamu yanayoweza kumfaa mtu maishani)
  • Siyo DOGMA (misingi iliyowekwa kwa ajili ya watu kuifuata tu bila kuipinga, kuhoji au kuuliza maswali juu yake)
  • Siyo WAZO (ideology)
  • Ni NAFSI HALISI
BAADA YA SOMO KUWA LIMEFUNDISHWA, KUNA PEPO ALIRUSHWA KWENYE VIPENGELE TAJWA, IKIWA NI PAMOJA NA VINGINE AMBAVYO MHUSIKA ATAVITAJA BAADAYE MBELE

Mbali na haya yote, ilithibitika pia kuwa RM ni GENERATOR au REGENERATOR, maelezo yake yatafuata baadaye

Baada ya haya yote kuwa yamefundishwa na kuwekwa wazi na Mwalimu wa Semina husika; ushahidi alionao mhuska kwa sasa unamuonyesha kuwa kuna kundi la watu k

liliingia kazini na kuanza kushughulika na mambo haya, likitumia utaalamu wa hali ya juu wa kiroho na hivyo kufanikiwa kurusha mapepo kwenye mambo yote yaliyopo hapo juu, yaliyoandikwa kwa herufi kubwa na pia kupigiwa mstari


Kitu hiki kilifanyika mithili ya vile ilivyowahi kufanyika hivi karibuni miwshoni mwa mwaka jana 2023, wakati mhusika alipokuwa yupo ofisini kwake akifundisha darasa la wanafunzi somo/topic ya SOIL MECHANICS

Pepo huyo alirushwa pia kwenye WOKOVU, na hivyo kupelekea WALOKOLE WOTE (the saved) kuwa carries wa mapepo kuanzia pale kwa sababu anayewaokoa (the saver) ambaye ni RM naye pia alirushiwa mapepo kupitia GENERATORS

………………………inaendelea (RM)
 
………RM inaendelea

NB:

Kwa waumini waliokuwepo Kanisa A J2 wakati wa Ibada, yale mambo matano yaliyotajwa na Mtumishi wa Mungu aliyesimama Madhabahuni siku hiyo, baadhi yake yanapatikana kwenye WOKOVU na hivyo yapo kwenye DOCTRINE OF SALVATION


Mbali na hayo yote yaliyotajwa hapo juu, ilithibitka pia kuwa RM

I Ana sifa zote za Mungu

  • Ni wa milele, (ETERNAL); hana mwanzo hana mwisho; hakuanza alikuwepo siku zote
  • Anaweza yote (OMNIPOTENT)
  • Anajua yote (OMNISCIENT)
  • Yupo kila mahali (OMNIPRESENT)
  • Habadiliki (IMMUTTABLE as opposed to MUTABLES))
II Anafanya kazi zote za ki-Mungu

  • Anaumba (CREATOR)
  • Anafanya upya (REGENERATOR/ RECREATOR)
  • Anafufua (RESSURRECTOR)
III Yuko CHEO kimoja na Mungu Baba na Mungu Mwana

IV Ni NAFSI HALISI

  • Ni nafsi halisi yenye WILL, INTELLIGENCE na pia EMOTION
  • Anachukia tabia ya dhambi, uvivu, mienendo mibaya; maisha yasiyo manyoofu; na huwa anahuzunika
V Anafanya kazi za nafsi

  • Ananongea (SPEAKER)
  • Anaombea (PRAYER)
  • Anaelekeza (DIRECTOR)
  • Anaongoza (LEADER)
VI HUPEWA KIJINA CHA NAFSI (HE)

Hapa inaamisha kuwa ana GENDER

KWA KIFUPI SANA KABLA MHUSIKA HAJAENDELEA ZAIDI

WOKOVU
ukiwa tayari ulishapigwa RUNGU tangu mwaka 2012, miaka 10 baadaye, yaani mwaka 2022, Mwalimu wa Semina akarudi tena safari hii kwenye Kongamano la Umishemi

  • Ilikuwa ni wiki moja au mbili tu tangu DONOR wa DNA au GENES aondoke pale Kanisa A kurudi kwao Mwanza
  • Baada ya Kongamano kupita, J2 ya tarehe 27/11/2022 ikatokea ajali ya ndege kule Mwanza
Baadhi tu ya watu waliohusika kwenye ajali hiyo ni wafuatao

  • WAOKOAJI (The savers, mmojawao akiwa ni MAJALIWA)
  • WAOKOLEWAJI/ (the saved, wakiwemo marubani waliopoteza maisha)
Hawa wote walikuwa tayari wamesharushiwa mapepo tangu miaka 10 iliyopita

Usahahidi wa content ya semina zote hizi mhusika tayari anao kwenye database ya documents zake; atauleta baadaye

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA

………………………itaendelea (RM)
 
………………………inaendelea (RM)

KWENYE SEMINA HIYO, ILITHIBITIKA PIA KUWA:
KABLA YA YESU KUPAA MBINGUNI RM ALIKUWA ANAFANYA KAZI KUPITIA WATU MAALUMU TU KAMA VILE
MANABII
MAKUHANI
WAFALME

NA WATU WENGINE MAALUMU WALIOKUWA WANAPEWA "SPECIAL ASSIGNMENTS" ZA MUNGU KAMA VILE SAMSON
KWA HIYO, MANABII, MAKUHANI NA WAFALME NAO PIA WALIRUSHIWA PEPO KUPITIA SEMINA HIYO

KUHUSIANA NA AJALI YA NDEGE ILIYOWAHI KUTOKEA KULE BUKOBA
AJALI YA NDEGE ILIYOTOKEA BUKOBA, ILITABIRIWA NA NABII KWANZA KUPITIA MTANDAO HUU

ZAIDI NABII ALITOA DETAILS ZA AJALI IN ADVANCE, AKISEMA KUWA NDEGE ITAKATIKA VIPANDE VIWILI; NA KWELI NDEGE HIYO ILIKATKA VIPANDE VIWILI

UTABIRI ULITOLEWA TAREHE 25/11/2022 NA AJALI IKATOJEA SIKU YA PILI TU BAADA YA UTABIRI KUWA UMETOLEWA


HII NCHI KUNA KIKUNDI CHA WATU KIMESHAJITOKEZA KINACHOLAZIMISHA KUTUFANYA TULIO WENGI TUONEKANE KAMA WAJINGA

………………………itaendelea (RM)
 
MHUSIKA ALIANZA KWENDA KANISANI MAY 2011

MNAMO MAY 2011, MHUSIKA ALIANZA KWENDA KANISANI NA BAADA YA MIEZI SITA, ILIPOFIKA NOVEMBA 2011, NDIYO PALE MHUSIKA ALIPOKUWA CONVINCED KWAMBA WALOKOLE WANACHO KITU CHA TOFAUTI NA HIVYO KUAMUA KUKATA SHAURI NAP KUWA MLOKOLE KUANZIA MWEZI HUO WA NOVEMBA 2011

HAPO SASA ALIONGOZWA SALA YA TOBA, AMBAYO HUWA NI KIAPO AU MKATABA KATI YA MWAMINI NA MUNGU WAKE

HAPA MWAMINI ANASIMAMA KWENYE NAFASI YA PROMISER NA MUNGU KWENYE NAFASI YA PROMISEE

BAADA YA HAPO, MIEZ MIWILI MBELE, YAANI ILIPOFIKA FEBRUARY 2012, NDIYO SASA IKAJA ILE SEMINA ILIYOHUSU ROHO MTAKATIFU NA KANISA, NA HIVYO MKTABA ULIOKUWA BADO MPYA KABISA WA NOVEMBA 2011 KATI YA MHUSIKA NA MUNGU UKAWA UMEPIGWA RUNGU ZITO KWA MARA YA KWANZA
………………………itaendelea (RM)
 
KILE KILICHOWAHI KUPELEKEA SEMINA YA ROHO MTAKATIFU KUFUNDSISHWA MWAKA 2012; ILISEMEKANA NI MGOGORO ULIOTOKEA KANISANI HAPO ULIOSABABISHWA NA NABII AMBAYE ALIKUWA ANAAMINIWA SANA NA KM-A

Nabii huyu wa Kanisa A na swahiba wa karibu sana KM-A, alemekana kuingiaa kwenye mgogoro na baadhi ya waumini wa Kanisani hapo, na baada ya hapo ikapelekea Mtumishi wa Mungu A, kutumwa kuja ku-arrest hali hiyo

Mtumishi huyu alifika Kanisani hapo akiwa ameambatana na viongozi wa ngazi ya juu ya Jimbo, na semina yake ilihusiana na NABII NA UNABII, na ilifanyika kwenye siku za J3 mpaka J5 za wiki

Baada ya Semina hiyo kumalizika, ndipo ilifuata Semina nyingine ya sasa ya Roho Mtakatifu kuanzia Alhamis hadina mtu mwingine, tuseme Mtumishi wa Mungu B,

Taarifa kuhusiana na Semina ya NABII NA UNABII, zilishawahi kuletwa humu zikianzia kwenye post hii #1,084 huku zikiwa zimeambatana pia na audio clips zenye mafundisho yaliyowahi kutolewa kwenye semina hiyo

Audio clips za mafundisho haya mengine kuhusiana na semina ya RM zitafuata baadaye

………………….itaendelea

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
KUHUSIANA NA AJALI YA MWAKA 2022 YA NDEGE

MATUKIO MUHIMU YALIYOTOKEA HADI KUFIKIA SIKU YA KUTOKEA AJALI YA NDEGE J2 YA TAREHE 27/11/2022


NDANI YA WIKI HIYO, SIKU MBILI ZILIZOFUATANA ZA J5 NA ALHAMIS YA WIKI HUSIKA, MR X ALIINGIA KAZINI KWENYE MAZINGIRA YA OFISINI AKIWA ANATUMIA LOOPHOLE ILIYOKUWA TAYARI IMESHATENGENEZWA KUPITIA "GENES" ZA MHUSIKA

BAADA YA HAPO, KESHO YAKE IJUMAA YA TAREHE 25/11/2022 UTABIRI WA AJALI ULITOLEWA KUPITIA MTANDAO HUU
POSSIBLY SIKU NYINGINE ILIYOFUATA YA JUMAMASI KUNAWEZA KUKAWA KULIFANYIKA MAANDALIZI YA MWISHO KULE KANISANI

BAADA YA HAPO, AJALI YA NDEGE ILITOKEA J2 ASUBUHI NA KATIKA MUDA AMBAO MHUSIKA ALIKUWA BADO YUPO NYUMBANI KWAKE, AKIWA KWENYE MAANSALIZI YA KUELEKEA KANISANI

MHUSIKA HAKUFANIKIWA KUISIKIA AJALI HIYO ASUBUHI HIYO NA HIVYO ALIONDOKA KUELEKEA KANISANI AKIWA HAJUI KAMA KUNA AJALI ILIYOKUWA IIMETOKEA

BAADA YA IBADA KUMALIZIKA J2 HIYO, MHUSIKA AKAKOSWAKOSWA KWENYE SHAMBULIO LA HATARI LILILOKUWA LIMERATIBIWA KWA USHIRIKIANO WA PROFESSOR, SECURITY GUARD PAMOJA NA BIBI MWENYE UMBO KUBWA

PLAN HAPA ILIKUWA NI KWAMBA MHUSIKA ASIPATE KABISA MUDA WA KUSIKIA KAMA KULIKUWA KUMETOKEA AJALI YA NDEGE SIKU HIYO

ALIVYOFIKA NYUMBANI BAADA YA KUWA AMEKOSWA KOSWA NA TUKIO KULE KANISANI, NDIYO PALE SASA ALIPOWEZA KUBAINII KUWA KULIKUWA KUMETOKEA AJALI YA NDEGE ASUBUHI YA J2 HIYO

………………….itaendelea(RM)

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
UPDATE:MONDAY 26TH MARCH 2024

KILE ALICHOKIONA MHUSIKA KUTOKEA KANISANI JANA J2 YA TAREHE 25/03/2024

KUHUSIANA NA MTUMISHI WA MUNGU MGENI ALIYERUDI TENA KANISANI KWA AJILI YA IBADA, SAFARI HII AKIWA AMEAMBATANA NA MWENZA WAKE


Huyu ni mtumishi ambaye wiki chache zilizopita, ndani ya mwezi huu wa tatu, alifika Kanisani hapo kwa ajiili ya huduma kwenye wiki ya wanawake

Kipindi hicho mtumishi huyu alikuja akiwa yupo peke yake, hakuwa ameambatana na mke wake

Hata hivyo, kwenye J2 ya jana tarehe 25/03/2024, mtumishi huyu alifika tena na safari hii alikuwa ameambatana na mwenza wake

COINCIDENCE KUBWA ILIYOJITOKEZA KATI YA UJIO WA MWENZA WA MTUMISHI KANISANI, NA UJIO MWINGINE WA HAPA NA PALE WA MSTAAFU WA MWAKA 2022 KWENYE MAZINGIRA YA OFISINI KWA MHUSIKA, ULIOFANYIKA NDANI YA WIKI 2-3 ZILIZOPITA

Kwenye maelezo ya siku chache zilizopita; mhusika amewahi kugusia kuhusu mstaafu wambaye jina lake lina mapigo ya sauti “GENE au JINI” na ambaye hivi karibuni amekuwa akionekana mazingira ya ofisini katika namna ambayo si huru sana kama alivyokuwa akionekana hapo kabla

Tangu alipostaafu mwaka 2022, hapo kabla, ilikuwa ni kawaida kwa mstaafu huyu wa kike, kuonekana mazingira ya ofisini huku akiwa huru amejiachia mithili tu ya vile alivyokuwa yuko huru kipindi alipokuwa bado ni mfanyakazi

  • Hata hivyo, msaatfu huyu amekuwa akionyesha dalili tofauti kwa mara ya mwisho alipokuwa akionekanaonekana mazingira ya ofisini, matukio yaliyotokea ndani ya wiki mbili au tatu zilizopita
  • Mstaafu huyu amekuwa akionekana kama vile yupo kwa kificho, kiasi cha kuonekana kama alikuwa anakwepa hata kule kusalimia tu na mhusika
Kwa mara hii ya mwisho alipokuwepo mazingira ya ofisini, mhusika na mstaafu huyu waligongana lakini hawakusalimiana huku umbali uliokuwepo kati yao ukiwa unaruhusu hilo; mama alitokomea kwenye ngazi alizokuwa anashuka bila kusalimiana na mhusika

GENETIC HISTORY ZA MSTAAFU HUYU NA ILE YA MAMA KIONGOZI, MGENI ALIYESIMAMA KWENYE MADHABAHU YA KANISA A J2 ILIYOPITA

Mama huyu aliyesimama madhabahuni J2 iliyopita akiwa ameambatana na mume wake, Genetic History yake inafanana na ile ya mstaafu wa mwaka 2022 ambaye jina lake linaenda kwa mapigo ya sauti “GENE au JINI

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
MAELEZO KWA KIFUPI KUHUSIANA NA WATU AMBAO MHUSIKA ALIWAHI KUONANA NAO AIRPRT J5 YA TAREHE 21/09/2022 (MWKA JUZI)

Wa kwanza
kabisa alikuwa ni mama ambaye ni mfanyakazi wa maeneo hayo na ambaye pia ni muumni wa Kanisa A; wanaabudu Kanisa moja na mhusika

Huyu walionana na mhuska muda mara tu mhusika alipowasili maeneo ya Airport na alikuwa bado hajakaa kwenye kiti, alikuwa bado anaweka mizigo sawa

Wa pili alikuwa ni classmate wa mhusika alipokuwa anasoma A-level na ambaye alikuwa ni mmojawapo wa ma-monitor wawili wa stream C ya mhuska

  • Huyu walionana takribani nusu saa baada ya mhusika kuwa amewasili uwanjani hapo
  • Walionana katika muda ambao mhusika alipokuwa anatokea washroom
  • Waliongea kidogo dakika chache, mate akaeleza kuwa naye pia alikuwa anasafiri jioni ya siku hiyo kuelekea Dodoma
Baada ya hapo, mate huyu hakuonekna tena uwanjani hapo ila alikuja kuonekana mwishoni kabisa wakati wa checking-in; muda wa kuanzia saa tisa. Kipindi wanaonana ilikuwa kwenye mida ya saa 4 asubuhi

Wa tatu alikuwa ni binti wa kiongozi ambaye aliwahi kuhudumu Kanisa A

Huyu alionekana muda wa jioni wakati wa checking in, na pia walisalimiana na mhusika ila hawakuongea

Wa nne alikuwa ni yule mwanasiasa maarufu ambaye jina lake limefanana na jina la Kiongozi Mzee wa Kanisa A

Huyu naye aliwasili uwanjanai hapo wakati wa checking-in; huku wageni wa mhusika wakiwa tayari wameshamaliza ku-check in muda mfupi na tayari walikuwa wameshafika kwenye waiting lounge

  • Asili ya binti aliyetajwa hapo juu, kwa upande wa baba ni sawa na ile ya mwanasiasa maarufu
  • Vile vile asili yake ni moja na ile OFFICE MATE-1 wa mhusika; pamoja na ya baba wa mtoto mpwa wa mhusika, aliyekuwa anasafiri siku hiyo
  • Kwa upande wa mama, asili yake ni moja na ile ya classmate wa mhusika, pamoja na ile ya Profesa wa tukio la Kanisani siku ya ajali ya ndege, J2 ya tarehe 27/11/2024
In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA

UP NEXT
SEMINA YA ROHO MTAKATIFU; inaendelea
 
YALE YALIDHIHIRKA KUHUSU MUNGU KUTOKA KWENYE SEMINA YA ROHO MTAKATIFU

……………….inaendelea


Ilidhhirika pia kuwa RM ni WAKILI

…………………………mwanzo wa nukuuu

John 14:15-31

Jesus Promises the Holy Spirit


15 “If you love me, keep my commands. 16 And I will ask the Father, and he will give you another ADVOCATE to help you and be with you forever

…………………………mwisho wa nukuuu

Na hapa ndiyo pale wanapoingia yule Profesa wa Kanisani aliyewahi kufanya Presentation ya mwaka jana (Februari 2023); na ambaye hakuwepo kwenye Presentation ya pili iliyofanyika hivi karibuni J2 ya tarehe 14/03/2024

  • Wakati wa presentation ya awali (mwaka jana); umeme ulikatika mara mbili na hivyo kupelekea GENERATOR kuwaka mara mbili
  • Ikumbukwe kuwa hadi kiufikia siku hiyo, GENERATOR alikuwa tayari ameshasahmbuliwa tangu FEBRUARI 2012 kwenye wiki ya semina ya Roho Mtakatifu; exactly miaka 11 iliyopita
Kubwa zaidi, hapa anaingia pia KINARA WA MATANGAZO (KWM), ambaye kwa sasa hayupo Kanisani amehamia kwenye Kanisa jingine, mkoa mwingine

Kupitia post hii hapa #1,731 , mhusika aliwahi kuliona hilo kwamba KWM alikuwa anatumia professionyake madhabahuni kama upanga unaofanya kazi kinyume na mapenzi ya Mungu, kwenye nukuu hii yenye kicha kinachosema hivi

…………………………mwanzo wa kunukuuu

KWM AMEKUWA AKITUMIA PROFESSION YAKE KWENYE MADHABAHU YA KANISA A, KUFANYA HAYA YOTE YALIYOTAJWA HAPO JUU

…………………………mwisho wa kunukuuu

KUBWA KULIKO YOTE KATIKA HILI

WA “KUOKOTWA JALANI” NAYE ALIKUWA YUKO KAZINI HUKO NJE YA MADHABAHU


Huyu yeye alishughulika na kiapo kwa sababu tayari UWAKILI ulikuwa umeshafanyiwa kazi tangu mwaka 2012

Kwa hiyo alichofanya ni kufanya-translation kutoka kwenye UWAKILI kwenda kwenye KIAPO

…………………….itandelea

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
UPDATE: TUESDAY 26th MARCH 2024

AUDIO CLIPS ZA SEMINA YA ROHO MTAKATIFU ILIYOFANYIKA FEBRUARY 2012 (MIAKA 12 ILIYOPITA)

Siku ya KWANZA

Audio clip 1; siku ya kwanza ALHAMIS



Audio clip 2; siku ya kwanza




Audio clip 3; siku ya kwanza



Audio clip 4; siku ya kwanza




Audio clip 5; siku ya kwanza

 
Siku ya PILI
Audio clip 1; siku ya pili IJUMAA


Audio clip 2; siku ya pili


Audio clip 3 siku ya pili


Audio clip 4 siku ya pili


Audio clip 5; siku ya pili
 
Siku ya TATU
Audio clip 1; siku ya tatu; JUMAPILI



Audio clip 2; siku ya tatu


Audio clip 3; siku ya tatu


Audio clip 4 siku ya tatu;


Audio clip 5; siku ya tatu


In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
NYONGEZA MUHIMU KWENYE BAADHI YA MASWALA AMBAYO MHUSIKA AMESHAYAONGELEA KWENYE BAADHI YA POSTS ZILIZOPITA

KUHUSIANA NA SWALA LA WATU ALIONANA UWANJA WA NDEGE SEPTEMBA 2022


Mwingine alikuwa ni binti ambaye ni staffmate wa mhusika, yule anayekaa kwenye ofisi jirani na chumba cha chai

Mhusika alimuona binti huyu akiwa anapiyta kwa mbali kidogo na hivyo hawakuweza kuongea

Binti alipita akiwa anatokea kweye parking za gari za TERMINAL II na alikuwa anaelekea TEMINAL III

Kwa namna configuration ya AIRPORT ilivyo, tuseme kama mtu akiwa anatokea Gongolamboto na unaelekea TERMINAL III, katika hali ya kawaida hawezi akapaki gari TERMINAL II kwa sababu TERMINAL III inakuwa iko mbele ya TERMINAL II, huku ikiwa na parking nyingi tu na za kutosha

Vle vile tuseme kama mtu akiwa anatokea City Center na anaelekea TERMINAL III, katika hali ya kawaida mtu huyu hawezi akapaki gari TERMINAL II kwa sababu TERMINAL III inakuwa iko kabla ya TERMINAL II

Kwa hiyo msafiri anayetokea mjini kuelekea TERMINAL III, hawezi akapaki gari kwenye parking za TERMINAL II kwa sababu hawezi kufika mahali iliko TERMINAL II

KUHUSIANA NA BAADHI YA TARAKIMU ZILIZOPO KWENYE NAMBA YA USAJILI ZA GARI LA MHUSIKA KUFANANA NA TARAKIMU KWENYE NAMBA ZA USAJILI ZA BAADHI YA STAFFMETES WAKE IDARANI

Gari la mhusika la zamani liliowahi kuibiwa injini na kuwekewa nyingine kuukuu, lilikuwa na namba za usajili T347 AVT

Yupo SENIOR MSTAAFU mmoja idarani ambaye naye pia gari lake lina namba za usajili T347 A------ na lilisajiliwa baada ya lile la mhusika

Mbali na huyo, MKUU WA MAJOR UNIT naye pia anayo magari matatu ambayo yote matatu, kila moja linazo tarakimu mbili kwenye namba zake za usajili ambazo ni 3 na 4; zile ambazo zipo kwenye gari la zamani la mhusika

Magari haya yote matatu nayo pia yalisajiliwa baada ya lile la mhusika

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
NYONGEZA MUHIMU KWENYE BAADHI YA MASWALA AMBAYO MHUSIKA AMESHAYAONGELEA KWENYE BAADHI YA POSTS ZILIZOPITA

KUHUSIANA NA SWALA LA WATU ALIONANA UWANJA WA NDEGE SEPTEMBA 2022


Mwingine alikuwa ni binti ambaye ni staffmate wa mhusika, yule anayekaa kwenye ofisi jirani na chumba cha chai

Mhusika alimuona binti huyu akiwa anapiyta kwa mbali kidogo na hivyo hawakuweza kuongea

Binti alipita akiwa anatokea kweye parking za gari za TERMINAL I na alikuwa anaelekea TEMINAL III

Kwa namna configuration ya AIRPORT ilivyo, tuseme kama mtu akiwa anatokea Gongolamboto na unaelekea TERMINAL III, katika hali ya kawaida hawezi akapaki gari TERMINAL II kwa sababu TERMINAL III inakuwa iko mbele ya TERMINAL II, huku ikiwa na parking nyingi tu na za kutosha

Vle vile tuseme kama mtu akiwa anatokea City Center na anaelekea TERMINAL III, katika hali ya kawaida mtu huyu hawezi akapaki gari TERMINAL II kwa sababu TERMINAL III inakuwa iko kabla ya TERMINAL II

Kwa hiyo msafiri anayetokea mjini kuelekea TERMINAL III, hawezi akapaki gari kwenye parking za TERMINAL II kwa sababu hawezi kufika mahali iliko TERMINAL II

KUHUSIANA NA BAADHI YA TARAKIMU ZILIZOPO KWENYE NAMBA YA USAJILI ZA GARI LA MHUSIKA KUFANANA NA TARAKIMU KWENYE NAMBA ZA USAJILI ZA BAADHI YA STAFFMETES WAKE IDARANI

Gari la mhusika la zamani liliowahi kuibiwa injini na kuwekewa nyingine kuukuu, lilikuwa na namba za usajili T347 AVT

Yupo SENIOR MSTAAFU mmoja idarani ambaye naye pia gari lake lina namba za usajili T347 A------ na lilisajiliwa baada ya lile la mhusika

Mbali na huyo, MKUU WA MAJOR UNIT naye pia anayo magari matatu ambayo yote matatu, kila moja linazo tarakimu mbili kwenye namba zake za usajili ambazo ni 3 na 4; zile ambazo zipo kwenye gari la zamani la mhusika

Magari haya yote matatu nayo pia yalisajiliwa baada ya lile la mhusika

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
…………………..inaendelea (ROHO MTAKATIFU)

Vinginevyo kwa siku za kuanzia J3 hadi J5 za wiki ya semina husika, kulikuwa na semina nyingine iliyokuwa imetangulia na ilihusiana na NABII NA UNABI

Audio Clips za semina hiyo ziliwahi kuwajieni kabla kupitia post hii hapa #1,091

……………………….itaendelea

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
UPDATE: THURSDAY 28th MARCH 2024

MAMBO MAWILI MUHIMU AMBAYO MHUSIKA ANAPENDA KUYAONGELEA LEO

MOSI:
KUHUSIANA NA SEMINA YA ROHO MTAKATIFU ILIYOFANYIKA FEBRUARY 2012


Semina hii ilikuwa ya kwanza kabisa tangu mhusika aokoke, na alikuwa na takribani miezi 9 tangu siku alipookoka

  • Ilimchukua mhusika miezi 6 kamili au nusu mwaka, tangu aanze kwenda Kanisani hadi siku alipokata shauri na kuamua kuwa mlokole
  • Assuming Semina hii ingeletwa Kanisani baada ya mwezi mmoja au miwili tangu alipoanza kwenfda kanisani, uwezekanao mkubwa ulikuwa ni kwamba mhusika angeokoka ndani ya kipindi hicho cha mwezi mmoja au miwili
Semina hii haikuweza kuja ndani ya muda huo mfupi kwa sababu ilikuwa inasubiria mhusika aokoke kwanza halafu ndiyo iweze kufanyika

Semina hii isingeweza kufanya kile kilichokuwa kimekusudiwa kama ingeletwa kabla mhusika hajaokoka

PILII: KUHUSIANA NA TATAIZO ALILOKUWA AKILILALAMIKIA MARA KWA MARA KUWA KILA ILIPOKUWA INATOKEA AKAENDESHA GARI KWA REVERSE AKIWA ANATOKA NJE YA UZIO WA KANISA BAADA YA IBADA KUMALIZIKA, AJALI MBAYA SANA ZILIKUWA ZINATOKE

Ajali hizi zilikuwa zinatokana na kile kilichofanyika kwenye DNA zake, mlango huo ulikuwa umekuwa connected na REVERSE MOVEMENT kupitia DNA zake

Kulikuwa na mlango kwenye DNA ambao ulikuwa unatumika ku-manufacture ajali na FORMULA ZA NAMNA YA KUUTUMIA MLANGO HUO ZILIKUWA ZINATENGENEZWA NA WAHUSIKA WENYEWE, huku mojawapo ya fomula hizo ikiwa ni mhusika kuendesha gari kwa REVERSE GEAR

J2 iliyopita ya tarehe 24/03/2024, yule mama wa siku zote mwenye Harrier; alimsubiria tena mhusika kwa maukusudi pale getini, na alipotaka kuingia, yule mama ndiyo akaanza kutoka, akimlazimisha mhusika kurudi nyuma kwa REVERSE GEAR

Hadi unafika muda wa mhusika kwenda kuchukua gari lake nje ili aliingize ndani ya uzio wa Kanisa, magari yote ya watu wa Ibada ya kwanza yaliyokuwa yanatakiwa kutoka nje, yalikuwa tayari yameshatoka

Ukimwangalia mama huyu kichwa, kinaonekana kuwa kiko sawa, ana akili timamu

Kutokana na hali hii, itamchukua mhusika karne nzima mhusika kuweza kuamini kuwa ajali ya ndege ya mwaka 2022 ilikuwa ni ya kawaida

Yule SHUJAA MAJALIWA, anaweza akawa anajua mengi zaidi ya vile ambavyo awali watu tulidhani kuwa alikuwa anajua, na ikitokea pia ikajulikana kuwa hakuwa shujaa mhusika hawezi kushangaa chochote

Baadhi tu ya matukio ambayo mhusika alishawahi kuyaleta humu yakiwa yanahusiana na mhusika kutengenezewa mazingira ya kumlazimisha kuendesha gari REVERSE GEAR ni haya hapa yafatayo

#1,790

#1,789

#1,787

#1,394

#1,392

#1,345

#1,344

#1,339

#1,317

#1,316

#1,314

#1,313

#1,300

#1,299

#1,113

#1,112

#951

#928

#926

#925

#924

Vinginevyo matukio mengine ya awali ambayo yameshawahi kumhusisha mama mwenye gari Harrier ni haya hapa

#1,339

#1,299

#1,114

#1,113

#1,112

#924

#923

Mbali na huyu mama wa Kanisani, mtu mwingine ambaye ameanza kuonekana kuwa “awkward” huku naye akiwa ni mmiliki wa gari aina ya Harrier, ni huyu mstaafu ambaye jina lake lina sauti yenye mapigo “GENE”

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
UPDATE: SATURDAY 30th MARCH 2024
KILE KILICHOPELEKEA MHUSIKA AKASHIRIKISHWA KUFUNDISHA SOIL MECHANICS MUHULA ULIOPITA NA KWENYE KOZI AMBAYO HAPO KABLA HAKUWA AMEWAHI KUIFUNDISHA


NI ZILE GENES, NA HIZO NDIZO ZILIZOTUMIKA KUSABABISHA MAPOROMOKO YA ARDHI KULE KARTESH

IKUMNUKWE PIA KUWA THE SAME GENES NDIYO ZILIZOSABABISHA AJALI YA NDEGE KULE BUKOBA

MWALIMU WA SOMO AMBALO MHUSIKA ALILSHIRIKI KUFUNDISHA MHULA ULIOPITA, ALIKUWA KILA MARA ANAMVIZIA MHUSIKA KWENYE VERANDA KWA AJILI YA MAONGEZI, KITU AMBACHO KINAONYESHA KUWA MWALIMU HUYU ALIKUWA ANAFANYA MAONGEZI NA.MHUSIKA KWA KIFICHO KWA SABABU ALIKUWA ANAELEWA KUWA PLAN ILIYOKUWA NYUMA YA MAONGEZI HAYO HAIKUWA NZURI

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
UPDATE: SATURDAY 30th MARCH 2024
TAARIFA MUHIMU KUHUSIANA NA PROFESA AMBAYE AMEKUWA AKIFANYA PRESENTATIONS ZA MAMBO YA "FWEDHA" KANISANI


HATIMAYE UTAFITI WA MHUSIKA UMETHIBITISHA PASIPO SHAKA KUWA PROFESA HUYU YUKO LINKED NA MTU MWINGINE MGENI AMBAYE YUPO IDARANI KWA MHUISKA NA AMBAYE ANA TAKRIBANI MIAKA MINNE SASA , ISIPOKUWA HADI MUDA HUU, MHUSIKA BADO HAJAWEZA KUJUA KAMA MTU HUYU NI MFANYAKAZI AMA LA KUTOKANA NA UKWELI KUWA

MOSI
: HAJAWAHI KUTAMBULISHWA

PILI: KATIKA KIPINDI CHOTE AMBACHO AMEKUWEPO IDARANI, MTU HUYU HAJAWAHI KUHUDHURIA HATA KIKAO KIMOJA TU CHA IDARA, ISIPOKUWA HAFLA ZINGINE ZOTE ZILIZO NJE YA RATIBA YA KAZI KAMA VILE SOCIAL EVENTS, ZENYEWE HUWA HAKOSI KUHUDHURIA

MTU HUYU NA PROFESA WAKO LINKED KWA KUTUMIA OBSERVABLE PHYSICAL ATTRIBUTES, MITHILI YA VILE AMBAVYO KIJANA MWINGINE ALIYEWAHI KUWEPO IDARANI MIEZI KADHAA ILIYOPITA, ALIKUWA YUKO PHYSICALLY LINKED NA BINTI MKUBWA WA MR X

KUNA KITU KIJANA HUYU ALIFANYA HIVI KARIBUNI KWA MHUSIKA, SIKU YA IJJMAA JIONI TAREHE 22/03/2024 NA TAARIFA ZAKE ZITAWAJIENI BAADAYE.

NI YULE KIJANA WA KIUME AMBAYE HUWA ANASHUGHULIKA NA MASWALA YA IT HAPO IDARANI

UTENDAJI KAZI WA ROHONI WA WATU HAWA WAWILI UMEONYESHA PASIPO SHAKA YOYOTE KUWA WAKO COORDINATED

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
Back
Top Bottom