Mod post kama hivi za zakutunga na kuchafua jeshi letu.It's the usual complaint system does good, system is abused.
Wewe una gari na unatembea sehemu kama hizo usiku huna bastora!! hata sime?
Mambo ya kutishiana kwangu no. Na nnapiga picha kama ingekuwa ni mimi angekiona cha moto. Huyo alikuwa ni polisi sio jambazi kwani ingekuwa jambazi angekuomba leseni kwa kazi gani? tena anashika na kukurudishia!! hao ni vijana wa mangu hawana kipya.
jamani hakusema kwamba ni polisi waliofanya hivyo, amesimulia yaliyomtokea, na mwisho akasema polisi waongeze nguvu maeneo hayo yawezekana ni matapeli. sijaona mahali jeshi limechafuliwa "system will remain to be a system till end of the world" nawakilisha.
Jtahidi siku nyingine anakupa kitambulisho usome namba!ndo muanze kuchenjiana Hongera kwa ujasili.
Jambazi anauliza driving licence.Think twice
mkuu sijasema jambazi nimesema raia mwenye nia mbaya kwani hata watoto, vibaka, vidokozi na wengineo sikuhizi wana bastola kwa akili nyepesi jambazi coco beach afuate nini?
Aksante mkuu, Hakunisemesha mpaka tunafika nyumbani.
Heeee!!! Hata kukupa pole kwa mkasa huo!!! Ana roho kubwa mwanamke mwenzangu
Weee...pole ya nini sasa? Yan mimi baada ya kufika nyumbani vibao,kucha,meno vingemhusu...kibao kikinigeukia basi ila ningemtia adabu
Umtie adabu kwa kosa gan hasa??
Ataletaje kiburi mbele ya bastola? Assume hilo kubwa jinga lingekuwa limetoka kupiga cha arusha ingekuwaje? Leseni tu???
We muongo sana wewe leseni mpya iki expiry ukienda ku renew unaiacha na unapewa mpya...eti ukatoa leseni mbili?ndo maana JK anasema mna kiwanda cha kuzalisha uongo