Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,069
- 8,326
Hii kituko kimetokea leo asubuhi mitaa ya kwetu ambapo mtu wa umri wa miaka 30 mwanaume amenusurika kufa kwa kile kinachodhaniwa ni ulevi wa kupindukia baada ya kuspend usiku mzima ndani ya jalala la chuma, kisa kilikuwa hivi;
Majira ya saa1 asbh leo gari za kukusanya uchafu kama kawaida zinapita na kukusanya uchafu kisha unaenda kuchomwa huko Pinelands ndipoojawapo ya 'bin' lililokuwa hifadhi ya mda ilipobebwa na kumwagwa ndani ya gari kubwa likiwa na mtu ndani ambae hakuwa na faham mpk pale alipoangushiwa ndani ya gari kubwa na kusababisha maumivu makali na kupiga yowe.
Dereva aliogopa na kupiga simu polisi ndipo polisi, resque team na emergence wakafika na kukuta kijana akiwa hoi ndani ya pipa la uchafu. Hii imekuwa gumzo kubwa hapa town kwani ingekuwa hakupiga kelele basi angekutana na mashine za kusaga uchafu na huenda angepoteza uhai.
Ulevi ni noma, weekend njema