nikubhilikile uje
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 264
- 243
Angegeuka tu mambo simpleeeHuyo mchumba wako amshukuru Mungu abiria alishukia kituo cha karibu. Na wewe pia ungeabika sana kama sio kuvaa mavazi yako ya kubana. Sasa kilichokuzuia kusogea nyuma ni kitu gani mkuu? Ni kweli ulishindwa kwa sababu ya kumkumbuka mchumba au mazingira hayakuruhusu kuomba namba? Ungerudi nyuma ukaendelea kufuatilia yanayojiri kwenye mitandao hayo yote yasingetokea.
Mkaruka waona go!Nilikuwa na uwezo 100% kugonga yule dada kwani alichokuwa hakikifanya halikuwa hakinitazama usoni kwa kuibia furani ila lengo langu nilitaka kujuwa nini haswa lengo lake pia swala la kusogea nyuma nimelifanya kipindi cha mwanzoni ili kumwachia nafasi laki bado hali iliendelea ikabidi ni stop nione nini hitaji lake
tumapendana na mchumba wangu sana nimejiuliza kwanini nifanye hivyo nafaidika na nini haswa nikakosa jibu kilichofuata nikuqngalia move nzima nione hitaji lake kwangu ni mini?
Kugonga sio tatizo....tatizo ni dhamira/intention yake...unajuaje kama yuko kwenye mkakati kabambe wa kusambaza UKIMWI? FikiriaNilikuwa na uwezo 100% kugonga yule dada kwani alichokuwa hakikifanya halikuwa hakinitazama usoni kwa kuibia furani ila lengo langu nilitaka kujuwa nini haswa lengo lake pia swala la kusogea nyuma nimelifanya kipindi cha mwanzoni ili kumwachia nafasi laki bado hali iliendelea ikabidi ni stop nione nini hitaji lake
tumapendana na mchumba wangu sana nimejiuliza kwanini nifanye hivyo nafaidika na nini haswa nikakosa jibu kilichofuata nikuqngalia move nzima nione hitaji lake kwangu ni mini?