Mimi nilisafiri kwa treni siku mbili huko soviet. Nafuata demu.
Mara treni likazingua njiani tukakaa hotelini, nikapendwa na kisu kimoja.. Kumbe kile kisu ni jirani na ninapoenda.
Ninapoenda binti alikuwa anaishi na mama yake wawili tu kwenye apartment.
Mama yake kwenye early 50s yake hajawahi kuona mtu mweusi maishani zaidi ya tv.
Mji ulikuwa na skinhead wale wanaoua wageni.
Nilifika kumbe kesho yako ni sikukuu ya hitler.hii ni siku ambayo mgeni akionakana wanachukua roho yake. Iwe mchina mwarabu etc...
Na mama na binti nilienda nao supermarker kununua alcohol.
Kila mtu alikuwa lazima ageuke kuniangalia , kingkong kafika kwenye kimji chao.
Huo mji unaitwa tula unaweza kuugoogle.
Ni stori ndefu sana ila ni real.
Ngoja nimtafute
The bold anisaidie kupangilia paragraph vizuri. Ili asinilipishe napitia kwa dada yangu kipenzi
Nifah
Nitaanzishia thread ya haya matukio ngoja kwanza nipewe idhini na
relato