Binti hana msimamo anadhani ngono itampa maisha bora zawadi atakayopewa ni ukimwi na huyo Mwanaume aliyetenda hayo yaani natetemeka kwa hasiraPole sana mwanangu Ethan Cruz dah
Wanaume mkoje lakini!? Yaani mke anakuheshimu na kukuamini halafu wewe unatake advantage ya uaminifu wake kwako kuwatafuna wadogo zake....... kweli!?
Wanawake hebu tukutane hapa kwa dhararu tuone jinsi ya kuboresha ule mpango wetu wa vidumu
Makiseo Shunie Nakadori Nuzulati mimi sina wivu wa mapenzi kwa mwanaume asiyejielewa lakini kwa hili la kubaka watoto wa kike ndani ya nyumba yangu naweza kuingia kwenye record ya kidumu cha petrol
Mwanaume kama huyu hatoishia kutafuna mashemeji zake tuu, hata watoto wake wa kuzaa atawatafuma
Cc mrangi Come27 Lee Bujibuji Asprin Emmanuel Kasomi
ALOOO POYEE SN manzeeeeBinti hana msimamo anadhani ngono itampa maisha bora zawadi atakayopewa ni ukimwi na huyo Mwanaume aliyetenda hayo yaani natetemeka kwa hasira
Kuna watu wanahisi njia ya kuonyesha upendo na kumjali mtu ni kumpa mbususu au kumuomba mbususu sasa hii inachangia uzembe uzembe piando tiket iyoo ya staff
Ukute shemeji wakati anamuoa dada hakumkuta na bikra so anaamua kutoa sild moja moja za mashemeji zake kiroho safi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shida ipo hivi binadamu ni binadamu ukamwambia kwa uzuri akakuona mmbaya bora utoe upewe raha,akisanuka unadai huniamini mie ndugu yako basi nilikubali kisa sina msaada
Wao wanajuana nahawako tu olevel pia chuoUkute shemeji wakati anamuoa dada hakumkuta na bikra so anaamua kutoa sild moja moja za mashemeji zake kiroho safi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama Kuna shemeji mwingine yupo darasa la sita ajiandae baada ya miaka miwili anakuja kusoma secondary mjini.
Pole sana dogo..hi ndio shida ya umaskini. Kwa vile najua nguvu ya mapenzi..nashauri muondoke hapo. Kama mdau hapo juu alivoshauri..omba kuhamia boarding...ikiwezekana..nenda kaongee na.mwalimu unaemwamini kuhusu unayopitia..wao ndio waweke shinikizo la nyie kukaa boarding..hata ikibidi kusema sikuhizi haufanyi vizuri ktk masomo au kwamba unamarafiki wabaya..sababu ziko nyingi. Naamini dada ataelewa..na kufanya.mpango wa kuwahamisha. Ukithubutu kumwambia dadako..kaa tayari kukosa undugu na masomo.Mimi ni msichana mwenye miaka 17 nipo form three (kidato cha tatu) katika shule moja hapa mjini. Nimekuja huku leo ili kuomba ushauri mimi ninasoma shule ya day na ninaishi kwa dada yangu ambae ameolewa,Tatizo ni kwamba dada yangu huwa anaingia kazini usiku hivyo kuniacha mimi na mumewe nyumbani pamoja na watoto wake toka naanza form one.
Ilikuwa ivyo ila nilipoingia kidato cha tatu siku moja shemeji alainifauata chumbani wangu na kuanza kunibembeleza tuwe na kimapenzi nilikataa mwanzoni cz nilikuwa sijawahi kufanya mapenzi.siku iliyofuata alikuja tenah na akaniambia nikikataa atamwambia dada yangu kuwa huwa naleta wanaume kwenye nyumba yake na dada anamuamini sana shemeji kuliko mimi hivyo atanifukuza nirudi kijijini na nanitakosa masomo hivyo nikamakubalia akaanza kuwa na mimi kimapenzi huku akainaahidi kuficha siri na kunipatia zawadi na pesa.
Ila juzi kunamdogo wangu wa form one anamiaka 14 alikuja kusalimia likizo hivyo tukawa nae hapo nyumbani juzi mimi nilipomsindikiza dada usiku ile aende kazini usiku kama kawaida yake shemeji nae akanipigia sim niende kwa rafiki yake nikamletee docment zake za kazini Mungu mkubwa ile anakata sim nikamuona rafiki yake huyo akaniambia hana document yeyote ya shemeji bhasi mimi nikawahi nyumbani kufikia namkuta shemeji yuko na mdogo wangu chumbani wanafanya mapenzi iliniuuma sana lakin shem alisema tuyamalize dada asijue kwani itakuwa aibu kubwa na sie wote tutafukuzwa.... akatuahidi kutupa shilingi milioni moja ili tusiseme.
Hakuishia hapo akamwambia dada huyu mdogo wangu anatakiwa aje akasome mjini ili afaulu masomo vizuri kwani kijijini hakuna walimu sasa jana ndio kaenda kushuhulikia uhamisho ili mdogo wangu aje kusoma hapa hivyo atakuwa kimapenzi na dada yangu mimi mwenyewe na mdogo wangu dada hajui lolote .....nishaurini nimwmbie dada yangu hali halisi, nikae kimya nimalize masomo yangu niondoke ,,,au nitoreke hapa kabisa wapendwa nipo kwenye kiza kinene hata shuleni sielewi kitu tangu huu mkasa.
HOODBOY