Mkandara mimi sikuelewi kabisa!! Mimi nakubali kwa asilimia mia kwamba Vincent ni wa ukoo wa Nyerere lakini hatoki kwenye Familia ya Mwalimu Nyerere. Pia nakubaliana na wewe kwamba Mkapa ni ndugu na kina Madaraka kwa YAMINI lakini hazaliwi na mtu yeyote kutoka kweye ukoo wa Nyerere!! Sijui ni wapi tunapopishana hadi udhani kwamba nataka kumsafisha Mkapa.
- Ninajiuliza swali moja hawa wote ni Familia moja, sasa wanapochafuana huko Arumeru as they have done, linakuja swali moja kubwa je hawa wanafamilia moja wana siri ngapi zingine hawajatuambia wa-Tanzania? Au tusubiri kampeni nyingine ya siasa tuwapange tena tusikie zaidi? Just curious!
- Lakini hawa wana siri nyingi tunahitaji kuzijua Wananchi wa Tanzania!, sasa wapangwe tena another kampeni!, I mean kinachoendelea huko Arumeru ni serious business:
- HOWEVER: hivi kweli CCM haikuwa na mwingine wa kumpeleka Arumeru zaidi ya Mkapa? I mean kweli Viajna wote walioko CCM Why him?
FMEs!
Mkandara mimi najadili kilichoandikwa kwenye bango na si vinginevyo. FMES yeye kaandika "familia" na si 'ukoo" kwa kuwa siku zote nasimamia ukweli ni kwamba Vincent si mwanafamilia ya Mwalimu ila ni ukoo mmoja na mwalimu. Vincent anaitwa "Vincent Josephat(Yaani kazaliwa na Josephat) Nyerere" wakati Madaraka anaitwa "Madaraka Julius (Yaani kazaliwa na Julius) Nyerere. Madaraka na Vincent undugu wao unakuja kwenye ukoo na wala si kwenye familia zao!!Kama ungesema hivi toka mwanzo tusingefika hapa mkuu nilichosema mimi ni kuweka sawa tu maneno yako. Maana ulisema kwamba Mkapa kasema VN sio familia ya Malimu wakati Mkapa hakusema hivyo! wala VN asingekuja na ghadhabu zile. Tuyaache mkuu wangu yamekwisha, tumeelewa na tuko pamoja ila usitumie nguvu nyingi sana kumsafisha Mkapa maana haya ni ya wana ndugu na wanajua kuliko wewe na mimi unless wewe mwenyewe ni mwana ndugu.
- Ninajiuliza swali moja hawa wote ni Familia moja, sasa wanapochafuana huko Arumeru as they have done, linakuja swali moja kubwa je hawa wanafamilia moja wana siri ngapi zingine hawajatuambia wa-Tanzania? Au tusubiri kampeni nyingine ya siasa tuwapange tena tusikie zaidi? Just curious!
- Lakini hawa wana siri nyingi tunahitaji kuzijua Wananchi wa Tanzania!, sasa wapangwe tena another kampeni!, I mean kinachoendelea huko Arumeru ni serious business:
- HOWEVER: hivi kweli CCM haikuwa na mwingine wa kumpeleka Arumeru zaidi ya Mkapa? I mean kweli Viajna wote walioko CCM Why him?
FMEs!
Duh ama kweli wewe mgumu sana kuelewa. Sizungumzii alichoandika FMES isipokuwa ulichoandika wewe dhidi ya maneno ya Mkapa.. Mkapa alisema hivi:-"Nimefanya kazi na Mwalimu kwa miaka 25, nikiwa mwandishi wake, Waziri na katika muda huo, nimemzika yeye, kaka yake na mama yake mzazi, sijawahi kusikia jina la mtu kama huyo katika familia hiyo".Mkandara mimi najadili kilichoandikwa kwenye bango na si vinginevyo. FMES yeye kaandika "familia" na si 'ukoo" kwa kuwa siku zote nasimamia ukweli ni kwamba Vincent si mwanafamilia ya Mwalimu ila ni ukoo mmoja na mwalimu. Vincent anaitwa "Vincent Josephat(Yaani kazaliwa na Josephat) Nyerere" wakati Madaraka anaitwa "Madaraka Julius (Yaani kazaliwa na Julius) Nyerere. Madaraka na Vincent undugu wao unakuja kwenye ukoo na wala si kwenye familia zao!!
- ninajiuliza swali moja hawa wote ni familia moja, sasa wanapochafuana huko arumeru as they have done, linakuja swali moja kubwa je hawa wanafamilia moja wana siri ngapi zingine hawajatuambia wa-tanzania? Au tusubiri kampeni nyingine ya siasa tuwapange tena tusikie zaidi? Just curious!
- lakini hawa wana siri nyingi tunahitaji kuzijua wananchi wa tanzania!, sasa wapangwe tena another kampeni!, i mean kinachoendelea huko arumeru ni serious business:
- however: Hivi kweli ccm haikuwa na mwingine wa kumpeleka arumeru zaidi ya mkapa? I mean kweli viajna wote walioko ccm why him?
Fmes!
- Ninajiuliza swali moja hawa wote ni Familia moja, sasa wanapochafuana huko Arumeru as they have done, linakuja swali moja kubwa je hawa wanafamilia moja wana siri ngapi zingine hawajatuambia wa-Tanzania? Au tusubiri kampeni nyingine ya siasa tuwapange tena tusikie zaidi? Just curious!
- Lakini hawa wana siri nyingi tunahitaji kuzijua Wananchi wa Tanzania!, sasa wapangwe tena another kampeni!, I mean kinachoendelea huko Arumeru ni serious business:
- HOWEVER: hivi kweli CCM haikuwa na mwingine wa kumpeleka Arumeru zaidi ya Mkapa? I mean kweli Viajna wote walioko CCM Why him?
FMEs!
Mkuu wangu na wewe kaa huijui Bongo. Wakachimbue kaburi ili iweje? Mtajaribu sana kumsafisha Mkapa wakati hasafishiki..Ukweli unajulikana sema watu hawana uwezo tu...Amefanya kosa pale alipotaka kuonyesha anawajua sana familia hiyo ndipo watu wakamwondolea Uvivu. Kafungua mwenyewe dirisha la hoja, sasa watu wanafungua milango yote!
Duh ama kweli wewe mgumu sana kuelewa. Sizungumzii alichoandika FMES isipokuwa ulichoandika wewe dhidi ya maneno ya Mkapa.. Mkapa alisema hivi:-Nimefanya kazi na Mwalimu kwa miaka 25, nikiwa mwandishi wake, Waziri na katika muda huo, nimemzika yeye, kaka yake na mama yake mzazi, sijawahi kusikia jina la mtu kama huyo katika familia hiyo.
Ndipo VN na Madaraka wakaingilia kati na kuweka habari hii sawa. Kwa kauli ya Mkapa alikuwa na maana Ukoo (katumia familia hiyo)maana kamhusisha hadi kaka na mama yake mwalimu ndio maana Madaraka na VN wakamwaga mboga.
Ili iweje?..mkuu wangu hivi unaijua Bongo na wewe mbona bado mnayaendeleza. Yaani nani aseme nini na kiaminike ili hali VN kasema tu Mkapa anahusika tayari watu mmeisha anza kum doubt! ila Mkapa ndio mkweli.. si bora wachimbue kaburi tupate uhakika kuwepo kwa homicide..Mkandara Mkandara Mkandara! Pole pole aka taratibu!
Anamaanisha kama kuna kitu kimejificha waje watu wenye upeo mzuri na hcho kitu waki-expose ili kiwe bayana na watu wengi wakielewe, na si kwamba wakachimbue kaburi la Mwalimu!
Kwa hiyo mimi ndio mwenye makosa sio" hata kama umeyaandika hayaKosa si langu ni lako Mkandara!! Mimi sikuwa najua kama Mkapa kajumlisha na hao wengine akadai ni "familia" hilo ni kosa lake na si langu. Na mimi sikuwa narekebisha maneno ya Mkapa bali nilikuwa naweka sawa kwa wale waliotafsiri kwamba Mkapa alikana kwamba Vincent si mtoto wa Mwalimu jambo ambalo ndilo nalisema kwamba ni kweli kwamba Vincent si mtoto wa Mwalimu bali ni ukoo mmoja ni Mwalimu. Hilo ndilo tatizo la kutokujua kiswahili vizuri!!
Tatizo hapa mnachanganya kati ya uzao wa Mwalimu na familia ya mwalimu. Wote tunafahamu kwamba kuwa mwanafamilia si lazima uwe uzao wa baba wa familia. Mtoto wa kuasili (adopted child) anakuwa moja kwa moja mwanafamilia. Na kwa ushahidi uliopo kwenye vyombo vingi vya habari MKapa aliasiliwa na Familia ya Mwalimu (hakuasiliwa na Ukoo wa kina Nyerere) na familia nzima inamchukulia kama ni mtoto wa "nyumbani"
Kwa hiyo MKapa si wa ukoo wa Nyerere lakini ameasiliwa (adopted) na Familia ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Baba wa Taifa la Tanzania. Na kwa ufahamu wangu alichosema yeye ni kwamba Vincent si mtoto wa Mwalimu (Kwa hili yuko sahihi kabisa) lakini hakuna sehemu amesema Vincent si wa ukoo wa Nyerere!!
Kosa si langu ni lako Mkandara!! Mimi sikuwa najua kama Mkapa kajumlisha na hao wengine akadai ni "familia" hilo ni kosa lake na si langu. Na mimi sikuwa narekebisha maneno ya Mkapa bali nilikuwa naweka sawa kwa wale waliotafsiri kwamba Mkapa alikana kwamba Vincent si mtoto wa Mwalimu jambo ambalo ndilo nalisema kwamba ni kweli kwamba Vincent si mtoto wa Mwalimu bali ni ukoo mmoja ni Mwalimu. Hilo ndilo tatizo la kutokujua kiswahili vizuri!!

Na jibu la yote haya lipo ktk Signature yako mkuu wangu inasema hivi:- Usually when people are sad, they don't do anything. They just cry over their condition. But when they get angry, they bring about a changeMkuu Hapa Issue sio Kushinda bali Kuelewa na keulewana, Mkandara amejitahidi sana kukufafanulia mpaka amekuletea maneno yote yaliyosemwa na wahusika, Sasa hapa kuna kitu gani kigumu?? Katika Familia za Kiafrika Familia haiishii kwa Baba, Mama na Watoto bali inaenda zaidi ya Hapo, au wewe si Mwafrika? Kama ni Mwafrika hilo Halina Ubishi.
Suala la Familia(Ukoo) wa Nyerere kumu -asili mkapa kama mwana Familia huenda lilikuwa na utashi wa Kisiasa na kimaslahi zaidi Kwao! Inawezekana hawakuwa na uhakika sana juu ya Hatima yao baada ya Kifo cha JKN na ukizingatia kuwa wengi walizoea kuishi kwa Jina la Mwalimu. Hivyo kitendo cha Kuondokewa na Jembe lao waliona kuwa BWM ndio mhimili mwingine kwao, Ndio maana wakampa uhawana Familia kwa maslahi yao, na mtakumbuka kuwa katika kipindi chote Mkapa aliwabeba sana.
- Kwenye hili CCM hawakuwa makini ingawa sijui the prons, lakini kumpeleka kampeni kama hii Mkapa, siamini kwamba politically ilikuwa a sound idea, ninaamini huku walitakiwa Vijana zaidi infact hata wagombea wenyewe wako in their 20s, labda kuna something sijui lakini kwa maoni yangu it was overreaching on CCM's part!
Es!