Mkapa na Lowassa Wakamatwa

Status
Not open for further replies.
Geeque!Mbona wenzako wapo mnazimmoja wanasheherekea hiyo sikukuu yenu?wewe uko wapi nikutumie usafiri ili uwahi hata kushikana mikono na wenzako.nenda mkapange mikakati yenu ya mwaka huu mpaka mwakani april Mosi tena.

Mazee usafiri shida huku mitaa yetu daladala zenyewe za kuhesabu lakini nitafika hapo Mnazi Mmoja hata kwa mkokoteni ha ha ha.
 
Asante kwa habari hiyo nilikuwa nasubiri kwa hamu hao jamaa wafikiswe mahakamani. Suala ni kama serikali hii ya awamu ya nne ina vidhibiti vya kuwatia hatiani.Ama sivyo hizo nikampeni tu za uchaguzi wa 2010 zimeanza.Kama kweli wapo makini nasubiri wengine kama kina chenge na.....
 
Leo ni tarehe moja mwezi wa nne, ni sikukuu ya wajinga. unataka kutufanya wajinga????
 
Uongo mbaya, you got me going, lol!
Happy fools day to you too!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom