SI haba lazima rais anaeondoka awe na kitega uchumi
tumeona wake za marais..mama mkapa kaondoka na fursa sawa kwa wote..mama kikwete kaja na wama..si haba kujikumbusha ben kaondoka na kabank chake Bank M je Rais kikwete umejiandaa na Bank Gani??ni ushauri tu si haba na wewe ukaondoka ukiwa na kasehemu cha kukushikiza miaka iliobakia ukiacha ile ruzuku ya kila mwezi.wish dk kila la kheri for a new bank

Kikwete kajiingiza kwenye Mitandao ya walafi na wahujumu uchumi, huyu akitoka madarakani ndo ataumbuka kabisa, huyu anaeshindwa kuweka mgawanyo wa mabo ya familia na utawala wa nchi, mmmh sijui.

Kawekeza kwa mchimba madini toka Canada na Subash Patel ili mradi asijedhulumiwa kama alivyofanyiziwa Kighoma Malima!! Wahindi sio watu, wanakupenda pale wanapokutumia!!