Na Kiwira,kagoda,Aneben,richmond,kilimo kwanza, je? sitaki kuamini kama ni mkapa na tambo hizo. Historia ya nchi hii unayotaka mkapa kujivunia alikufa nayo Nyerere mwenyewe. ccm imebakia butua tu watajijuuu. Pole sana, asitafute legitimacy kwa wananchi kwa kukumbusha historia ya nchi hii. Aangalie chadema sio mtu mwenye hiyo surname but ni peoples power waliochoshwa na watu kama yeye. miaka hamsini % chache ya wa-Tz wana umeme nao sio wa uhakika. Hivi kweli ni uchumi gani unaoweza kuendeleza kwa nishati ya kibabaishaji kama hiyo. Inatia kichefuchefu. Sikushangai maana Arumeri walihitaji Majibu ya matatizo yao ww ukaja na Vicent sio mtoto wa nyerere. Tehtehtehteh huyu ndio makini wa kufikiri.