Mkapa: Kumbe alisema kweli

Mkapa: Kumbe alisema kweli

Hahahahahaaaaaa. Hili ni tatizo kubwa kwa nchi yetu mkuu. Nadiriki kusema bila woga kwamba Tanzania ina matatizo huko iendako maana watu hawana uelewa wa mambo yanavyokwenda. Kitendo cha kuchoka chama na kuwa tayari kuweka jiwe kina kila dalili ya kuonyesha watu hawafikili vyema. Hii ni kwa ajili ya kukosa lishe bora utotoni na hivyo ubongo kudumaa. Haiwezekani watu wasahau mapema kiasi hiki. Kuna tatizo tena kubwa

mkuu ni kwel watz tumekosa lishe bora utotonu hivyo hatufikirii vizur na hii ni sabb serikal ya ccm inatumia rasilmal zetu kwa maslah yao

hatuna iman tena na ccm,bora jiwe kulko hawa watu......

unatakiwa kujua hapa tatzo sio lowasa wala magufuli,,,chuki zetu ni dhidi ya shetan ccm na vibaraka wao..

hata lowasa angekua ccm tungemkana ivo ivo
 
Kumbe UKAWA mafuriko sio ya Lowasa ni eti watanzania wameichoka CCM hivyo hata Kama linalogombea ni JIWE litapigiwa kura ili CCM itoke madarakani eti imechokwa.

Ndo maana mgombea wao anazungumza pumba watu wanashangilia. Eti atawaondolea umaskini ndani ya siku 100. Pia kila mwenye Gari na bodaboda wataongezewa mengine. Wanafunzi wote bure mpaka university.

UPUMBAVU NA ULOFA HUU.

Atatokomeza Rushwa kwa siku 100,Foleni ataimaliza kwa siku mia, halafu tapeli mwenzie wa kipemba anasema ataibadilisha znz kuwa kama Singapore ndan ya siku mia, sasa siku ya mia na moja sijui ndo watastaafu Urais kwa kuwa kazi itakuwa imeisha?
 
Kingunge amejiondoa rasmi leo kwenye chama chake CCM na anaunga mkono mabadiliko
 
Kumbe UKAWA mafuriko sio ya Lowasa ni eti watanzania wameichoka CCM hivyo hata Kama linalogombea ni JIWE litapigiwa kura ili CCM itoke madarakani eti imechokwa.

Ndo maana mgombea wao anazungumza pumba watu wanashangilia. Eti atawaondolea umaskini ndani ya siku 100. Pia kila mwenye Gari na bodaboda wataongezewa mengine. Wanafunzi wote bure mpaka university.

UPUMBAVU NA ULOFA HUU.
ila wewe unasumbuliwa na zaidi ya UPUMBAVU NA ULOFA! napata wakati mgumu kuelewa kama ulikuwa unawaelewa waalimu wako darasani! YOU ARE COMPLETELY DULY!!!
 
Ndio Yaleyale Majitu Yalio Aminishwa Hii Ni Nchi Masikini Na Kuamini.Pumbavuuuuu!!
 
Kumbe UKAWA mafuriko sio ya Lowasa ni eti watanzania wameichoka CCM hivyo hata Kama linalogombea ni JIWE litapigiwa kura ili CCM itoke madarakani eti imechokwa.

Ndo maana mgombea wao anazungumza pumba watu wanashangilia. Eti atawaondolea umaskini ndani ya siku 100. Pia kila mwenye Gari na bodaboda wataongezewa mengine. Wanafunzi wote bure mpaka university.

UPUMBAVU NA ULOFA HUU.

we have to think critically, jamani ccm wanaposema watagawa 50million kwa kila kijiji, je? tuna vijiji vingapi nchi nzima? je jumla itakuwa shs. ngapi? je ni mikakati gani yapo ambayo yatafanya izo pesa zisiwe kama mamilioni ya jk? ambayo takwimu ilibaini kuwa wanufaika wengi hawakuwa walengwa.je UKAWA wakitumia hizo fedha kuwekeza kwenye elimu ambayo itakuwa ni kwa wote wapenda elimu haitowezekana. kama swali ni wapi watapata pesa hizo?, je CCM watazipata wapi?
 
Back
Top Bottom