Mkapa: Kumbe alisema kweli

Mkapa: Kumbe alisema kweli

Teamubwabwa

Senior Member
Joined
Jul 7, 2015
Posts
172
Reaction score
59
Kumbe UKAWA mafuriko sio ya Lowasa ni eti watanzania wameichoka CCM hivyo hata Kama linalogombea ni JIWE litapigiwa kura ili CCM itoke madarakani eti imechokwa.

Ndo maana mgombea wao anazungumza pumba watu wanashangilia. Eti atawaondolea umaskini ndani ya siku 100. Pia kila mwenye Gari na bodaboda wataongezewa mengine. Wanafunzi wote bure mpaka university.

UPUMBAVU NA ULOFA HUU.
 
Hahahahahaaaaaa. Hili ni tatizo kubwa kwa nchi yetu mkuu. Nadiriki kusema bila woga kwamba Tanzania ina matatizo huko iendako maana watu hawana uelewa wa mambo yanavyokwenda. Kitendo cha kuchoka chama na kuwa tayari kuweka jiwe kina kila dalili ya kuonyesha watu hawafikili vyema. Hii ni kwa ajili ya kukosa lishe bora utotoni na hivyo ubongo kudumaa. Haiwezekani watu wasahau mapema kiasi hiki. Kuna tatizo tena kubwa
 
Kwa hasira tuliyo nayo, Ukawa hata wangekuweka wewe tunge kuchagua tu.
 
Na we kama hujui hilo tatizo limeletwa na hicho chama twawala
 
Kwa hasira tuliyo nayo, Ukawa hata wangekuweka wewe tunge kuchagua tu.

Hospitali za watu wenye matatizo ya akili ninazozijua mimi ni mbili, Lutindi na Mirembe naona zitaenda kujaa muda si mrefu labda kama kuna nyingine nisizozifahamu itakuwa afadhali.

Wagonjwa wa akili mumekuwa wengi mno.
 
Tuanzie hapa mkuu. Ni nini kimewafanya watu wazima na akili zao kufikia hatua ya kusema eti ni afadhali wapigie kura jiwe/jeneza/shetani kuliko CCM? Unafikiri wote ni wapumbavu? Ni nini CCM wamefanya mpaka kuibua hasira hizi zisizoelezeka?

Ukiweza kujibu haya maswali basi tutakuwa na mjadala mzuri.

Lowassa amewanyosha na hata asipoupata urais mafisadi wa CCM watafikiria mara mbili mbili kabla hawajachukua lumbesa kwenda kugawana pesa za mboga Mkombozi na Stanbic bank.
 
Kumbe UKAWA mafuriko sio ya Lowasa ni eti watanzania wameichoka CCM hivyo hata Kama linalogombea ni JIWE litapigiwa kura ili CCM itoke madarakani eti imechokwa.

Ndo maana mgombea wao anazungumza pumba watu wanashangilia. Eti atawaondolea umaskini ndani ya siku 100. Pia kila mwenye Gari na bodaboda wataongezewa mengine. Wanafunzi wote bure mpaka university.

UPUMBAVU NA ULOFA HUU.
Mkuu umeweka Topic ili tuchangie, Mimi binafsi nikuulize ni kitu gani kimekufanya utoa maamuzi ya kuyaita pumba yale Mr. Lowassa anayazungumzia kwenye Kampeni? Nijibu hapo ili twende sawa.
 
Mkuu Team ubwabwa, ni ulofa na upumbavu ndo ulifanya watu waendelee kuichagua CCM kwa miaka yote pamoja na mapungufu yake. Sasahivi wananchi wefikia critical point kwa hiyo wameamua liwalo na liwe. Ona hii picha, kisha wasaidie hawa Watanzania
attachment.php
 
kwa hapa ccm ilipofikia yapaswa kukataliwa kuliko hata shetani.lowasaaaa
 
Hahahahahaaaaaa. Hili ni tatizo kubwa kwa nchi yetu mkuu. Nadiriki kusema bila woga kwamba Tanzania ina matatizo huko iendako maana watu hawana uelewa wa mambo yanavyokwenda. Kitendo cha kuchoka chama na kuwa tayari kuweka jiwe kina kila dalili ya kuonyesha watu hawafikili vyema. Hii ni kwa ajili ya kukosa lishe bora utotoni na hivyo ubongo kudumaa. Haiwezekani watu wasahau mapema kiasi hiki. Kuna tatizo tena kubwa

Umeona ee? "Jiwe", raisi wa tz asimame aongee tafadhari!?
 
Tuanzie hapa mkuu. Ni nini kimewafanya watu wazima na akili zao kufikia hatua ya kusema eti ni afadhali wapigie kura jiwe/jeneza/shetani kuliko CCM? Unafikiri wote ni wapumbavu? Ni nini CCM wamefanya mpaka kuibua hasira hizi zisizoelezeka?

Ukiweza kujibu haya maswali basi tutakuwa na mjadala mzuri.

Lowassa amewanyosha na hata asipoupata urais mafisadi wa CCM watafikiria mara mbili mbili kabla hawajachukua lumbesa kwenda kugawana pesa za mboga Mkombozi na Stanbic bank.

Wameoshwa akili. Sijui kiiglishi chake.
 
Hahahahahaaaaaa. Hili ni tatizo kubwa kwa nchi yetu mkuu. Nadiriki kusema bila woga kwamba Tanzania ina matatizo huko iendako maana watu hawana uelewa wa mambo yanavyokwenda. Kitendo cha kuchoka chama na kuwa tayari kuweka jiwe kina kila dalili ya kuonyesha watu hawafikili vyema. Hii ni kwa ajili ya kukosa lishe bora utotoni na hivyo ubongo kudumaa. Haiwezekani watu wasahau mapema kiasi hiki. Kuna tatizo tena kubwa

Mimi naona wanafikiria vyema kwani ndo maana wanataka kubadilisha mfumo ambao wao wamejisemea kuwa umeleta ukosefu wa dawa hospitalini na kupeleka maduka binafsi,umefanya tanzania kuwa ya nafasi zaidi ya miamoja katika rushwa duniani,escrow,epa,richmond,kuhamisha kazi, mtu akifanya madudu kazin badala ya kumfukuza,kushindwa kulpa madeni ya watumishi watumishi wa uma kama vile walim hapo hapo kuahidi kugawa milion hamsini kwa kila kijiji,dola kupanda hadi 2300tsh na kusabisha mfumuko wa bei na gharama za maisha kupanda kila siku badala ya maisha bora kwa kila mtanzania ,mengineyo mengi
 
Mkuu umeweka Topic ili tuchangie, Mimi binafsi nikuulize ni kitu gani kimekufanya utoa maamuzi ya kuyaita pumba yale Mr. Lowassa anayazungumzia kwenye Kampeni? Nijibu hapo ili twende sawa.

Siku 100? Waziri wa fedha nk, bajeti, mmengine ongezea wewe unayajua.
 
kwa hapa ccm ilipofikia yapaswa kukataliwa kuliko hata shetani.lowasaaaa

Kuna sehemu niliona bango limeandikwa CCM NI ZAIDI YA UKIMWI, najiuliza mtu mpaka amefikia hatua ya kuandika hivi amewaza nini? hii ni hatarii
 
Kumbe UKAWA mafuriko sio ya Lowasa ni eti watanzania wameichoka CCM hivyo hata Kama linalogombea ni JIWE litapigiwa kura ili CCM itoke madarakani eti imechokwa.

Ndo maana mgombea wao anazungumza pumba watu wanashangilia. Eti atawaondolea umaskini ndani ya siku 100. Pia kila mwenye Gari na bodaboda wataongezewa mengine. Wanafunzi wote bure mpaka university.

UPUMBAVU NA ULOFA HUU.

Wewe ndio humwelewi Lowassa , sisi tumemwelewa TUTAMPA KURA!
 
Siku 100? Waziri wa fedha nk, bajeti, mmengine ongezea wewe unayajua.

Wewe ulitaka aseme siku milioni mia moja? Kinachowezekana kwako inaweza kisiwezekana kwa mwingine and vice versa. Mpe nafasi ili a prove sio kuishia maneno ya kwenye kanga ndugu.
 
Back
Top Bottom