Ni yeye atatikisika... atawekwa jela kwa ufisadi wa kujiuzia mgodi wa makaa!Hayo ni maneno ya Raisi Mstaafu Bwana mkapa alipokuwa Tanga kwenye kampeni za chama tawala.
Lakini kauli hii bado inazua maswali mengi, kwamba hiyo dunia itatikisika vipi kwa kuanguka kwa CCM?.
Kuna harufu fulani hapa.
Ni yeye atatikisika... atawekwa jela kwa ufisadi wa kujiuzia mgodi wa makaa!
Kwanini wanaogopa kuachia madaraka? Nini kipo nyuma ya pazia?
Alidondoka Gadafi dunia hakutikisika sembuse ccm?
Hayo ni maneno ya Raisi Mstaafu Bwana mkapa alipokuwa Tanga kwenye kampeni za chama tawala.
Lakini kauli hii bado inazua maswali mengi, kwamba hiyo dunia itatikisika vipi kwa kuanguka kwa CCM?.
Kuna harufu fulani hapa.
Viroba!