Mkapa defends Tanzania's minerals policy

Huyo MLAU anastaajabisha kabisa,
Wizi huu chimbuko BEN kwa 100%
 
Umeongea ushuzi mtupu. Sera mbovu huzaa sheria mbovu.
Mkapa na Kikwete na mawaziri wao hawana namna kukwepa ushenzi na uharamia huu waliolifanyia taifa.
 
"...Tunarudi nyuma huku tunaangalia mbele... "
Christopher Mtikila
 
Jamani kwa sasa tusilaumiane, huu si muda wa kulaumiana, ni muda wa kuchukua hatua kwa kumuunga mkono Mh. Rais, mengine hayo tutaanza kulaumiana vita ikiisha.
 
Mkapa hakosi no 1-2 ya watu walio hujum uchumi wa taifa na kupelekea anguko kubwa la uchumi wa viwanda.
 
Reactions: SDG
Amefanya haya kwa kujua kuwa wa-Tanzania ni malofa na wapumbavu.
WaTz waoga wa defender na washawasha wala hatuwezi kupigania haki zetu, hivyo viongozi wetu hutuona malofa, mbumbumbu, wapumbavu na pia kabisa.

Na wataendelea kufanya madudu kwani hawana hofu yoyote na bado katiba imewalinda wakati na baada ya kustaafu.
 
Reactions: SDG
Nitafurahi sana iwapo JPM akiwachukulia hatua za kisheria wataalamu wote waliohusika katika kuandaa nyaraka za mikataba ya madini. Mbali na hayo itakuwa furaha sana iwapo nakala za mikataba hiyo ikionekana ili walau watu wafahamu zaidi.
 
Alikua anatetea ulaji tu sio Taifa..jamaa zake wametajirika sana hawa kina Kahama&co watoto na wajukuu wote wana manyumba canada na uraia za huko...sababu ya ma gold....na mawaziri wake wote..ni matajiri wa kutupwa...
 
naona kuna vilaza hapa mnaochanganya sera na mikataba!!!

nawaona nawaona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…