Mkapa aunguruma: Tanzania inahitaji Mijadala ya wazi tena Makini, agusia Katiba iliyokwama

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,658
55,484

Anasema kiongozi lazima asikilize. Hii nchi tutaiendeleza sisi wenyewe. Tuache kugombana bila Uchambuzi wa Kina. Ametolea mfano Mkwamo wa katiba, kasema ilitakiwa tuchambue na kutafakari Nini kiliikwamisha na nini kifanyike sio kulaumu tu.

Kasema ukiwa unaongea sana inabidi tutafakari jinsi ya kukudhibiti sababu saa nyingine mtu akiongea sana anakutoa kwenye njia na Malengo.

Asema nchi yetu Tanzania ndiyo yenye magazeti mengi, ingekuwa ndo kipimo basi sisi tumeendelea kweli kweli.

Mkapa amesema yeye ndie aliemuita Agha Khan aje aanzishe magazeti mengine hapa ndiyo yakaja mengine ya Mwananchi na the Citizen.

''Kwa mfano Prof Shivji amezungumzia kuhusu uhusiano wa kibiashara kati ya powerful block na nchi za Afrika, je ni uhusiano gani wa kibiashara utakaokuwepo kati ya wenye nguvu na wasio na nguvu?'' Alisema Mkapa

Amesema tunapenda kuzungumzia watu kuliko sera. Fuatilia michango ya wabunge Vijana Bungeni ambao wengine wanatoka hapa chuo kikuu, wana hoja gani? Wanazungumza nini?
 
Hii nchi tutaiendeleza sisi wenyewe. Tuache kugombana bila Uchambuzi wa Kina. Ametolea mfano Mkwamo wa katiba, kasema ilitakiwa tuchambue na kutafakari Nini kiliikwamisha na nini kifanyike sio kulaumu tu.

Kasema ukiwa unaongea sana inabidi tutafakari jinsi ya kukuthibidi sababu saa nyingine mtu akiongea sana anakutoa kwenye njia na Malengo.

Asema nchi yetu Tanzania ndiyo yenye magazeti mengi, ingekuwa ndo kipimo basi sisi tumeendelea kweli kweli.
Ulitegemea nini toka kwa Mkapa!
 
Kaongea kitu cha msingi sana Mkapa leo. Watu wanaongea sana kuliko vitendo unakuta mbunge kazi yake ni kulalamika tu serikali hivi serikali hivi wakati hana solution yoyote ya matatizo ya wananchi wake... Watu awachambui mambo kazi yao kuongea tu so wakidhibitiwa ni jambo la kizalendo sana maana wanakwamisha maendeleo.
 
Hii nchi tutaiendeleza sisi wenyewe. Tuache kugombana bila Uchambuzi wa Kina. Ametolea mfano Mkwamo wa katiba, kasema ilitakiwa tuchambue na kutafakari Nini kiliikwamisha na nini kifanyike sio kulaumu tu.

Kasema ukiwa unaongea sana inabidi tutafakari jinsi ya kukudhibiti sababu saa nyingine mtu akiongea sana anakutoa kwenye njia na Malengo.

Asema nchi yetu Tanzania ndiyo yenye magazeti mengi, ingekuwa ndo kipimo basi sisi tumeendelea kweli kweli.

Mimi ndiye nilimuita Agha Khan aje aanzishe magazeti mengine hapa ndiyo yakaja mengine ya IPP, Mwananchi na the Citizen.

Kwa mfano Prof Shivji amezungumzia kuhusu uhusiano wa kibiashara kati ya powerful block na nchi za Afrika, je ni uhusiano gani wa kibiashara utakaokuwepo kati ya wenye nguvu na wasio na nguvu?

One of the useless presidents we've ever had. Nothing beneficial comes from his mouth, alikaa madarakani miaka 10 alifanya nini cha maana?
 
Kaongea kitu cha msingi sana Mkapa leo. Watu wanaongea sana kuliko vitendo unakuta mbunge kazi yake ni kulalamika tu serikali hivi serikali hivi wakati hana solution yoyote ya matatizo ya wananchi wake... Watu awachambui mambo kazi yao kuongea tu so wakidhibitiwa ni jambo la kizalendo sana maana wanakwamisha maendeleo.
Wow! am speechless
 
Mkapa na Kinana kwanza wanatakiwa watuombe radhi kwa maamuzi yao pale Dodoma mwaka jana yanayotulea usaha wa majipu kama chakula chetu kikuu kwa miaka 5 na mungu akitupiga la kulia tutakula miaka 10!
 
Hii nchi tutaiendeleza sisi wenyewe. Tuache kugombana bila Uchambuzi wa Kina. Ametolea mfano Mkwamo wa katiba, kasema ilitakiwa tuchambue na kutafakari Nini kiliikwamisha na nini kifanyike sio kulaumu tu.

Kasema ukiwa unaongea sana inabidi tutafakari jinsi ya kukudhibiti sababu saa nyingine mtu akiongea sana anakutoa kwenye njia na Malengo.

Asema nchi yetu Tanzania ndiyo yenye magazeti mengi, ingekuwa ndo kipimo basi sisi tumeendelea kweli kweli.

Mimi ndiye nilimuita Agha Khan aje aanzishe magazeti mengine hapa ndiyo yakaja mengine ya IPP, Mwananchi na the Citizen.

Kwa mfano Prof Shivji amezungumzia kuhusu uhusiano wa kibiashara kati ya powerful block na nchi za Afrika, je ni uhusiano gani wa kibiashara utakaokuwepo kati ya wenye nguvu na wasio na nguvu?

Ungetuwekea muktadha mzima wa yeye kuongelea mkwamo wa katiba ungetusaidia kuona kama kweli nia yake ni ya dhati ya kupendekeza mijadala ama ilikuwa ndio namna yake ya kumjibu Jenerali Ulimwengu?
 
Kaongea kitu cha msingi sana Mkapa leo. Watu wanaongea sana kuliko vitendo unakuta mbunge kazi yake ni kulalamika tu serikali hivi serikali hivi wakati hana solution yoyote ya matatizo ya wananchi wake... Watu awachambui mambo kazi yao kuongea tu so wakidhibitiwa ni jambo la kizalendo sana maana wanakwamisha maendeleo.

ni mambo mangapi yanaongelewa na wapinzani lakini yanapuuzwa na serikali ?
 
Back
Top Bottom