RingaRinga
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 1,041
- 510
Kama umemuona katika taarifa ya habari, rais mstaafu B.M Mkapa utagundua kwamba ana furaha na amani kuu kuona kuwa Rais Magufuli yupo ktk nafasi hiyo.
Bashasha na uchangamfu aliouonesha katika ugeni huo vinadhihirisha Mkapa anavyomkubali Magufuli hadi kuwa tayari kutumwa kazi yoyote na Rais. Mzee Wrioba pia alionesha hali ileile, natumaini pia watakuwa nae bega kwa bega na kumshauri vizuri ili ile ndege aliyoiacha Mkapa katika run way kupaisha maendeleo iweze kupaa katika awamu hii ya mzee wa "KAZI"