Targaryen
JF-Expert Member
- Feb 20, 2017
- 675
- 640
Rais Kikwete Alikataa Kupokea Zawadi Ya Dhahabu Kutoka Kwa Kampuni Ya Nyamigogo (GVH) Ya Mkoani Geita Gramu 227 Ikiwa Na Thamani Ya Tsh. 16 Milioni Katika Soko La Dunia Kwa Wakati Huo Mwaka 2013. Dkt. Kikwete Aliagiza Dhahabu Hiyo Iuzwe Na Fedha Zake Zisaidie Watoto Yatima.
Taarifa Ya Ikulu Ya Novemba 11, 2013 Ilisema.
Wakati Kikwete Akifanya Hivyo, Rais Mkapa Akizindua Mgodi Wa Dhahabu Wa Golden Pride, Nzega Mkoani Tabora Uliokuwa Unamilikiwa Na Kampuni Ya Resoluted Mining Limited Ya Australia Februari 7, 1999 Alikubali Kupokea Zawadi Ya Pande La Dhahabu.
Kutokana Na Zawadi Hiyo, Baadhi Ya Wanasiasa Akiwamo Mwenyekiti Wa TLP, Augustine Mrema, Walitaka Dhahabu Hiyo Irudishwe Na Kuuzwa Ili Fedha Zake Zisaidie Kutatua Matatizo Ya Wananchi.
Pia Kitendo Hicho Cha Mkapa, Kilizua Mjadala Mkali Katika Shirika La Utangazaji Nchini Uingereza (BBC).