Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,252
- 113,645
Mazee Nyani karibu tena
Yaani nimecheck ile opening remarks ya BWM,................jamaaa pamoja na mambo mengine anayosemwa humu.........jamaa ni KICHWA, ALIKUWA NAELEWA MATATIZO YETU.......................na sio simple answers kama ya JK i.e. I DON'T KNOW.
Hivi BWM alisomea kitu gani vile?
Ogah said:Hivi BWM alisomea kitu gani vile?
Yaani nimecheck ile opening remarks ya BWM,................jamaaa pamoja na mambo mengine anayosemwa humu.........jamaa ni KICHWA, ALIKUWA NAELEWA MATATIZO YETU.......................
kwa hiyo ni muuza lugha kama wanaijeria??
ni kweli JK hajui anachokifanya? siamini katika hili,Huyu ni kiongozi mbaya na hatari sana kuliko JK ambaye hajui anachokifanya!..
Habari zenu wandugu? Nilikuwa nimepotea kidogo lakini sasa nimerudi. Warehouse kulikuwa na push ya inventory kwa hiyo nilikuwa napiga double shift...si mnajua tena kazi zetu hizi za mabox...
Haya katika pekua pekua yangu nikakutana na hii video kwenye youtube ya world economic forum ambayo Mkapa alishiriki....yeye ndio muzngumzaji wa kwanza. Furahieni...... [media]Davos Annual Meeting 2005 - Funding the War on Poverty - YouTube[/media]
mkuu nimeinagalia hii clip mpaka mwisho kwa kweli ni udhalilishwaji wa hali ya juu. wazungu wanatuona kama vituko fulani vile. mfano yule mwanamke aliyeanza kufanya harambe hapohapo ya kumchangia mkapa. mimi nimeangalia nikiwa peke yangu lakini nilikuwa natafuta pa kujificha kwa aibu. ni aibu kwa kweli, hata sipati picha wantuonaje.Habari zenu wandugu? Nilikuwa nimepotea kidogo lakini sasa nimerudi. Warehouse kulikuwa na push ya inventory kwa hiyo nilikuwa napiga double shift...si mnajua tena kazi zetu hizi za mabox...
Haya katika pekua pekua yangu nikakutana na hii video kwenye youtube ya world economic forum ambayo Mkapa alishiriki....yeye ndio muzngumzaji wa kwanza. Furahieni...... [media]Davos Annual Meeting 2005 - Funding the War on Poverty - YouTube[/media]