Wakati wenzake wanacheza chequers yeye anacheza Chess.
Watu wake wanasema kosa lake kubwa lilikuwa kuwasikiliza makada wa CCM in 2000 na matokeo yake wakapata mtu wao ambaye by default amekuwa kama Gorbachev ndani ya Chama cha Kikomunisty in the late 80's na sasa hivi inabidi ku dela na hili zimwi ambalo ngumu kuli contain while tumebakisha siku 6.
Lakini la muhimu zaidi tazama legacy yake. President Mkapa watu wake aliowaweka kwenye key strategic positions ndani na nje ya serikali wako mle mle na wanaendelea kufanya kazi na wengine wanaendelea kupewa nafasi. Na wenye kufahamu utawala wake wanasema pamoja na mapungufu aliyokuwa nayo lakini Ben was the technocrat in Chief ndio maana watu wake walikuwa ni reflection yake.
Lakini it gets even more juicier, Dodoma kwenye kuchagua candidate wa urais, Ben alikuwa na influence zaidni ndani ya CC kuliko current commander in chief (JK) Na mwishowe nadhani mmeona kapita mtu wake. Na ma political analysts wanasema kuwa kama JPM akipita na akashinda then kaeni stand by kuona influence ya Ben kwenye uchaguzi wa Cabinet mpya hivyo kuna possibility kuwa Ben atakuwa amemreplace Mchonga as the most powerful non public man in Tanzania.