Mkapa akikata ishus Davos

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,001
112,646
Habari zenu wandugu? Nilikuwa nimepotea kidogo lakini sasa nimerudi. Warehouse kulikuwa na push ya inventory kwa hiyo nilikuwa napiga double shift...si mnajua tena kazi zetu hizi za mabox...

Haya katika pekua pekua yangu nikakutana na hii video kwenye youtube ya world economic forum ambayo Mkapa alishiriki....yeye ndio mzungumzaji wa kwanza. Furahieni......

Last edited by a moderator:
Mazee Nyani karibu tena

Yaani nimecheck ile opening remarks ya BWM,................jamaaa pamoja na mambo mengine anayosemwa humu.........jamaa ni KICHWA, ALIKUWA NAELEWA MATATIZO YETU.......................na sio simple answers kama ya JK i.e. I DON'T KNOW.

Hivi BWM alisomea kitu gani vile?
 
Keep watching until midpoint....he talks again about the mechanisms that are in place for poverty reduction and the responsibilities that we (the poor countries) bear....very impressive
 
Mazee Nyani karibu tena

Yaani nimecheck ile opening remarks ya BWM,................jamaaa pamoja na mambo mengine anayosemwa humu.........jamaa ni KICHWA, ALIKUWA NAELEWA MATATIZO YETU.......................na sio simple answers kama ya JK i.e. I DON'T KNOW.

Hivi BWM alisomea kitu gani vile?

Mazingaombwe teh teh teh teh kwi kwi kwi.
 
1.acknowledging Bill Gates for fullfilling his promises
2.Lets put the money where our mouths are..................
3.very simple logic of eliminating debt servicing and poor nations will be able to use the same money to fight against malaria etc etc
4.Challenge to our developing countries is to transparently put down mechanism of how and what we collect in terms of revenues and how and what we use
5.we project our budgets depending on our revenues and other bilateral reliefs

hiyo point namba 4.............sijui yeye mwenyewe BWM alifanya juhudi gani kuhakikisha hilo linakuwepo
 
Hivi hizo $1Million zilizochangwa kuna mtu anajua fate yake?
 
Ogah said:
Hivi BWM alisomea kitu gani vile?

Mkapa amesomea language chuo kikuu Makerere. Lakini suala hapa si fani gani umesomea, bali kama una moyo kujituma kujifunza masuala mapya.
 
Yaani nimecheck ile opening remarks ya BWM,................jamaaa pamoja na mambo mengine anayosemwa humu.........jamaa ni KICHWA, ALIKUWA NAELEWA MATATIZO YETU.......................

Ohhh Yah! alikuwa akielewa matatizo yetu na dawa ya kuyatatua akatuapatia serikali tuliyonayo sasa ya akina Karamagi!
 
Nilichofurahia katika video hii ni pale Mwanadada mmoja fasta sana alivyoguswa na hoja za mzee Ben ,on the spoti mwanadada akaanzasha harambee ya papo kwa papo kumpiga tafu ben kupambana na malaria tz
kufumba na kufumbua dola milioni moja zikapatikana.
Ben uwongo mbaya ngeli anaijua!

halafu si ndo alikuwa mwandishi wa nyerere zamani?
Inawezekana hotuba za nyerere za ngeli enzi hizo zilikuwa zinakubalika kwa sababu ya Ben?
 
Mkuu FMES sikatai hayo maneno yalitoka kwa BWM..........soma swali langu vizuri nafikri utaelewa zaidi ninachosema..........je unakumbuka Satement ya JK kuwa "mwacheni mzee wa watu apumzike!!!!".............unajua mtandao ulishamuhakikishia BWM safe heaven............mengine nafikir unayafahamu vyema zaidi, kumbuka historia ya Membe na JK walikotokea.
 
Huyu ni kiongozi mbaya na hatari sana kuliko JK ambaye hajui anachokifanya!..
ni kweli JK hajui anachokifanya? siamini katika hili,
wote BWM and JK wote ni mvinyo wa zamani.
 
Che Nkapa anatisha kama "ngoma".........lakini kama ngoma yenyewe hana lolote la maana zaidi ya maangamizi!!!!!!! kaaaaaazi kweli kweli.
 
Upo umuhimu wa kutafakari nafasi za hawa marais wastaafu! Naona sifa kibao hapa lakini naamini dakika hii unaweza kupata tafakuri nzito juu ya haya yaliyosemwa na Mkapa na uhalisia wa sasa!
 
Habari zenu wandugu? Nilikuwa nimepotea kidogo lakini sasa nimerudi. Warehouse kulikuwa na push ya inventory kwa hiyo nilikuwa napiga double shift...si mnajua tena kazi zetu hizi za mabox...

Haya katika pekua pekua yangu nikakutana na hii video kwenye youtube ya world economic forum ambayo Mkapa alishiriki....yeye ndio muzngumzaji wa kwanza. Furahieni...... [media]Davos Annual Meeting 2005 - Funding the War on Poverty - YouTube[/media]

thanks tor this.
ukibahatia kupata na za rais kikwete tafadhali utuwekee, au pia kwa yeyote ambaye ana access nazo itakuwa bomba. naona audience wanamkubali zaidi lula wa brazil.
 
Habari zenu wandugu? Nilikuwa nimepotea kidogo lakini sasa nimerudi. Warehouse kulikuwa na push ya inventory kwa hiyo nilikuwa napiga double shift...si mnajua tena kazi zetu hizi za mabox...

Haya katika pekua pekua yangu nikakutana na hii video kwenye youtube ya world economic forum ambayo Mkapa alishiriki....yeye ndio muzngumzaji wa kwanza. Furahieni...... [media]Davos Annual Meeting 2005 - Funding the War on Poverty - YouTube[/media]
mkuu nimeinagalia hii clip mpaka mwisho kwa kweli ni udhalilishwaji wa hali ya juu. wazungu wanatuona kama vituko fulani vile. mfano yule mwanamke aliyeanza kufanya harambe hapohapo ya kumchangia mkapa. mimi nimeangalia nikiwa peke yangu lakini nilikuwa natafuta pa kujificha kwa aibu. ni aibu kwa kweli, hata sipati picha wantuonaje.
JAMANI ATAKAYE PATA KAMUDA AANGALIE HII MPAKA MWISHO, UTAJIFUNZA KITU TU LAZIMA.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom