dah! Inshaalah! Moyo umelipuka lipuu baada ya kuona pozi la mama mpendwa makamu wa rais.
Hakika Mungu alitumia uhodari wake na umakini kabisa ktk kumuumba huyu mheshimiwa mama makamu wa rais hasa kwenye mboni ni hatar.
Heko mama salamu yangu ikufikie. Nakukubali sana mheshimiwa mama.
Nikija upande wa kabinti ka kizenji kanako tikisa anga za dunia haka kabint hakika kananimaliza nguvu kabisa.
Hasa kwenye sauti yake,midomo yake mamaaaa! Nafwa kabisa.
Asante sana
mshana jr kwa kunipa picha hizi. Ila kama unayo nyingne ya haka kabint Zuhra Yunus inayoonekana vzr kama ilivyo wa mama basi naomba uiweke nataka niziweke ukutan kabisa ili siku nikikwaruzana na mama nggina ntakuwa naziangalia hizi picha nadhan hasira itakuwa inaisha kabisa. Huhuhuuuu