Mkao huu kwa wanaume unaashiria nini?

Mkao huu kwa wanaume unaashiria nini?

SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2009
Posts
50,081
Reaction score
75,445
Mwanaume na mwanamke ambao wako kwenye mahusiano wakikaa hivi ni jambo la kawaida sana,jee kwa wanaume tupu miguu kuingiliana hivi inaashiria nini? Halafu huyu mmoja anamuangalia mwenzake kwa matamanio makubwa.
FB_IMG_1638573260653.jpg


Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Mwanaume na mwanamke ambao wako kwenye mahusiano wakikaa hivi ni jambo la kawaida sana,jee kwa wanaume tupu miguu kuingiliana hivi inaashiria nini? Halafu huyu mmoja anamuangalia mwenzake kwa matamanio makubwa.View attachment 2229210

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Hapo kwa hali halisi ni kwamba kuna mtafunaji na mtafunwaji[emoji39]
Hapo mmoja wapo ni "biriani"[emoji39][emoji39][emoji39]
 
Back
Top Bottom