son of a teacher
JF-Expert Member
- Jul 30, 2017
- 686
- 1,779
Masharti ya mganga hayoHii nchi yetu bhanaa sasa ndio nini hicho kabeba??[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO KITOCHI using JamiiForums mobile app
Nenda kamzingue ndo utajua ni kitu ganiHii nchi yetu bhanaa sasa ndio nini hicho kabeba??[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO KITOCHI using JamiiForums mobile app
Kumpiga mwanadamu na hilo gongo ni kumtesa, ilitakiwa kiwe kitu simple kimwonekano ila hatari kikikupiga.Nenda kamzingue ndo utajua ni kitu gani
Fanya kosa nenda jela mpo 100 lkn nyote mnapiga magoti na kulala akitokeaKumpiga mwanadamu na hilo gongo ni kumtesa, ilitakiwa kiwe kitu simple kimwonekano ila hatari kikikupiga.
Kubeba hilo dude ni ujinga tu, kwanza ni zito hata yeye mtumiaji atalazimika kutumia nguvu nyingi kupigia, fikiria akikutana na watu 50 atawahi sana kuchoka, mwishowe atapigwa yeye.
Walitakiwa wawe na rungu za mpingo zenye kipenyo kidogo au zenye mchanganyiko wa mpira.
Hilo dude ni kutisha watu na ujinga tu, hakuna ufanisi hapo.
Sent from my TECNO KITOCHI using JamiiForums mobile app
La kufumulia marindaHii nchi yetu bhanaa sasa ndio nini hicho kabeba??[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO KITOCHI using JamiiForums mobile app
Risasi n ndogo lakini inaua tofauti na hilo gongoKumpiga mwanadamu na hilo gongo ni kumtesa, ilitakiwa kiwe kitu simple kimwonekano ila hatari kikikupiga.