Msafiri Kasian
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 2,134
- 664
ni appliy wakati nimepata UD tatizo lipo kwa wale ambao hawajui hata chuo walicho chaguliwa
Kaka nadhani unachosema sio kweli,kama ungekuwa ulishachaguliwa,system isingekubali save changes kwa program mpya.