Mkandarasi aliyejenga barabara ya Nyakato Buswelu akamatwe haraka

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
15,050
9,973
Hii kampuni ya hovyo sana ushaona wapi barabara ya lami bodaboda ikifunga breki inabanduka! Barabara hata Bajaj haziruhusiwi kupita mambo ya hovyo kabisa
 
Weka picha tuone yaweza kua ni ziwani.ila mwandishi bhangi zina kuonesha ni barabara
 
Hii kampuni ya hovyo sana ushaona wapi barabara ya lami bodaboda ikifunga breki inabanduka! Barabara hata Bajaj haziruhusiwi kupita mambo ya hovyo kabisa
Mkuu usimamizi wa ujenzi wa barabara katika mkoa mwanza ni wa hovyo kabisa. ukitoka shinyanga barabara yao ni smooth sana. Ukifika tu kwenye mpaka unaingia mkoa wa mwanza , barabara yao ni ya kiwango cha chini sana utafikiri umeingia nchi jirani.Hauna haja ya kujua kama umeingia mkoa mwanza kwa kujisumbua kusoma vibao, utasikia mtikisiko wa gari. ni kama barabara ya vumbi tu. Pia Ukitoka ukitoka mwanza kuelekea mara, ukishapita nyanguge tena unakutana barabara mbovu na hovyo hadi lamadi unapokutana na barabara nzuri kwa upande wa mkoa wa Mara
 
Unachosema Ni kweli tupu ipo haja yakuwafukuza wabunge wote wa mwanza, hata ukivuka Geita barabara za Geita Kagera Ni nzuri, sijui Mwanza Kuna shida gani?
 
Yaani najiuliza maswali mengi sana kuhusu hawa viongozi wa mwanza, eti linaitwa jiji
 
Tatizo letu Ni gachuma aliyemshawishi nyanza road amuuzie share mswahili Fulani, ona pale bundilya na nyamikoma mambo yakipumbavu tu yanaendelea pale
 
Back
Top Bottom