Mkamilifu ni Mungu pekee tu.

Winner Magele

Member
Jan 9, 2013
86
49
Wakati mwingine ni vizuri kujua watu wana sema nini kuhusu wewe,ikibidi wape uhuru wa kujieleza waseme vile wanavyo kujua,

Naamini hii ndio njia pekee ya wewe kujua watu wengine wana waza nini kukuhusu,

Kumbuka ni Mungu pekee ndiye anaye tuwazia mema,
Yeremia 29;11

Siku zote mawazo ya wanadamu ni mabaya kwa mujibu wa
Mwanzo 6;5

Na hii ni kwa sababu hakuna mtu mkamilifu ila Mungu pekee,

Mungu alijua sana habari ya uhuru wa kujieleza, ndio mana kuna muda ilibidi awaulize watu wake "mnawaza nini juu ya BWANA??" yeye atakomesha kabisa mateso haya tainuka mala ya pili"
Nahumu 1;9

Yesu yeye aliwauliza wanafunzi wake "Watu hunena Mwana wa Adamu kuwa ni nani?
Mathayo 16;13-18

Yesu naye alihitaji kujua watu wanawaza nini kumuhusu yeye.

Wanafunzi wake waka mjibu,wengine husema u Yohana Mbatizaji, wengine Eliya,wengine Yeremia au mmojawapo wa manabii.

Akasikia mawazo ya watu tofauti kuhusu yeye, na baada ya kusikia, hakuishia hapo bado aliwapa wanafunzi wake uhuru wa kujieleza,

Nanyi mwaninena mimi kuwa ni nani? Simoni Petro akajibu akasema, wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai.

Yesu akajibu, akamwambia,Heri wewe Simoni Bar-yona; Kwa kuwa mwili na damu havi-kukufunulia hili, bali Baba yangu aliye mbinguni.

Yesu kama angewaziba watu midomo wasijieleze,kuhusu yeye, Kimsingi asingejua yale wanayo yawaza au kuongea kumuhusu,wala asinge jua wanafunzi wake wana waza au kumtambua yeye ni nani.

kitendo cha kuwapa uhuru wa kujieleza kilimlahisishia kazi ya kujua watu wengine na team yake,wana waza nini juu yake.

Hapa nime jaribu tu kumzungumzia Yesu kama mwanadamu na sio Mungu,mana ukitaka kumzungumzia Yesu kama Mungu,Maandiko yanasema Yesu alikuwa ana jua yote hata mawazo ya wanadamu,

hii ni sifa moja wapo inayo mtofautisha Yesu na viumbe wengine,mana Mungu anajua yote, ana weza yote,na yupo mahali pote kwa wakati mmoja tofauti na viumbe vingine lakini alikuwa mnyenyekevu hakujivuna,

Tuwape watu uhuru wa kujieleza mradi tu awavunji sheria husika Mungu akubariki hii changamoto hata Yohana Mbatizaji alikutana nayo @pastorwinner @magelewinner_tz
IMG_20181216_201752_076.jpeg
FB_IMG_15449526609936255.jpeg
IMG_20181216_124640_317.jpeg
 
Wakati mwingine ni vizuri kujua watu wana sema nini kuhusu wewe,ikibidi wape uhuru wa kujieleza waseme vile wanavyo kujua,

Naamini hii ndio njia pekee ya wewe kujua watu wengine wana waza nini kukuhusu,

Kumbuka ni Mungu pekee ndiye anaye tuwazia mema,
Yeremia 29;11

Siku zote mawazo ya wanadamu ni mabaya kwa mujibu wa
Mwanzo 6;5

Na hii ni kwa sababu hakuna mtu mkamilifu ila Mungu pekee,

Mungu alijua sana habari ya uhuru wa kujieleza, ndio mana kuna muda ilibidi awaulize watu wake "mnawaza nini juu ya BWANA??" yeye atakomesha kabisa mateso haya tainuka mala ya pili"
Nahumu 1;9

Yesu yeye aliwauliza wanafunzi wake "Watu hunena Mwana wa Adamu kuwa ni nani?
Mathayo 16;13-18

Yesu naye alihitaji kujua watu wanawaza nini kumuhusu yeye.

Wanafunzi wake waka mjibu,wengine husema u Yohana Mbatizaji, wengine Eliya,wengine Yeremia au mmojawapo wa manabii.

Akasikia mawazo ya watu tofauti kuhusu yeye, na baada ya kusikia, hakuishia hapo bado aliwapa wanafunzi wake uhuru wa kujieleza,

Nanyi mwaninena mimi kuwa ni nani? Simoni Petro akajibu akasema, wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai.

Yesu akajibu, akamwambia,Heri wewe Simoni Bar-yona; Kwa kuwa mwili na damu havi-kukufunulia hili, bali Baba yangu aliye mbinguni.

Yesu kama angewaziba watu midomo wasijieleze,kuhusu yeye, Kimsingi asingejua yale wanayo yawaza au kuongea kumuhusu,wala asinge jua wanafunzi wake wana waza au kumtambua yeye ni nani.

kitendo cha kuwapa uhuru wa kujieleza kilimlahisishia kazi ya kujua watu wengine na team yake,wana waza nini juu yake.

Hapa nime jaribu tu kumzungumzia Yesu kama mwanadamu na sio Mungu,mana ukitaka kumzungumzia Yesu kama Mungu,Maandiko yanasema Yesu alikuwa ana jua yote hata mawazo ya wanadamu,

hii ni sifa moja wapo inayo mtofautisha Yesu na viumbe wengine,mana Mungu anajua yote, ana weza yote,na yupo mahali pote kwa wakati mmoja tofauti na viumbe vingine lakini alikuwa mnyenyekevu hakujivuna,

Tuwape watu uhuru wa kujieleza mradi tu awavunji sheria husika Mungu akubariki hii changamoto hata Yohana Mbatizaji alikutana nayo @pastorwinner @magelewinner_tz View attachment 970248View attachment 970249View attachment 970250
Hata mungu huwa anakosolewa na amri zake huwa zinavunjwa itakuwa mwanadamu
 
Back
Top Bottom