Wataiba hapa ila subiri nijiweke sawa
Lakini pokea hii kidogo
Alaha za mujubali
Utam wa shokshoki
Ladha yake steki tupu
Kijiba cha mjuba mrija wake koroboi
Kibaba chake nusu na robo
Chorus: waitakaa waipendaa
Utaiwezaa!chukua lakini kumbuka wembe haulambwi....× 2