Mkali wa KIDUKU Kupatikana leo!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkali wa KIDUKU Kupatikana leo!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Boflo, May 2, 2010.

 1. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2010
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
  Ile fainali ya kumsaka mkali wa Kiduku 2010 inatarajiwa kufanyika leo ndani ya Ukumbi wa Travertine, ambapo mshindi ataondoka na kitita cha dola za Kimarekani 250.

  Afisa uhusiano wa Kampuni ya Manywele Entertainment, waandaji wa shindano hilo, Maimartha Jesse ‘Mai’ alisema kuwa shughuli hiyo inatarajiwa kuanza majira ya saa 2:00 usiku na itapambwa na Kundi la muziki wa mwambao wa Pwani, Jahazi Modern Taarab chini ya Mzee Yusuph.

  Mbali na Jahazi, fainali hiyo itanogeshwa na Mabingwa wa soka Tanzania Bara 2009/2010 timu ya Simba ambao watalionesha kombe hilo, mshindi wa pili ataondoka na Music system ‘brand new’ wakati mshindi wa tatu atajinyakulia jezi kali za mpira wa mguu.
   
 2. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #2
  May 2, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  mmh!
   
Loading...