Judi wa Kishua
JF-Expert Member
- Apr 15, 2012
- 1,066
- 1,048
Tupia hapa jina la member ambae huu mwaka amefanya ulipende jukwaa la celebrities kwa michango yake na useme kwa kiufupi unapenda nini kwake au ni topic gani ilikufuraisha toka kwake ili tufunge mwaka. Mwenye kura nyingi tutamtangaza mkesha wa mwaka mpya. Na kutambua mchango wake.
OK let's go!
OK let's go!