Mkakati wa Team Lowassa huu hapa

Hii kitu hata mm nimeiona aisee!
 
Last edited by a moderator:
Tuambie nan anafaa hapo mkuu,zaidi ya lowassa?

Hili swali nimeshawahi wauliza zaidi ya mara nne hakuna ambaye anamajibu ya hilo swali wanatoa mapovu tuu

Nataka wanishawishi ni nani ambaye anafahaaa zaidi ya lowasa
 
Mmmmmmh Mimi najua huyu jamaa ni mzuri ila hawa jamaa watakubali apenye?

WAKAUBALI MARA NGAPI?
Mfumo anaoutumia na nguvu alizonazo ndani na nje ya CHAMA CHA MAPINDUZI unawalazimisha Chikwete na wenzake kusema YES kwa HON.EDWARD NGOYAI LOWASSA.
WAPENDE WASIPENDE EDDO NDIO MPEPERUSHA BENDERA YA CCM ZAIDI YA HAPO INAKULA KWAO.
 
Lowassa auze zile nyumba alizomnunulia fredi kule London kwanza halafu ndio achukue fomu ya kugombea urais.
 
FaizaFoxy alikuwa anasema Chadema haiwezi kumfukuza Zitto, na ikithjubutu haitabaki salama.unaonaje kuhusu hili?. je na CDM nao itakula kwao?
Manake wamemtimua ZZK ambaye inadaiwa yupo na Lowassa
 
Last edited by a moderator:

Hela ya Mzee itakutesa sana, ukwei waujua mwizi au fisadi hawezi kuingia ikulu kama rais labda kama anaena yuko chini ya ulinzi
 
FaizaFoxy alikuwa anasema Chadema haiwezi kumfukuza Zitto, na ikithjubutu haitabaki salama.unaonaje kuhusu hili?. je na CDM nao itakula kwao?
Manake wamemtimua ZZK ambaye inadaiwa yupo na Lowassa

Huyu iwe declared kuwa anatumia makalio yake kufikiria, alisema rais hawwezi kumfukuzwa tibaijuika kwa kupewa hela tu, mara muhongo hatoki, mara AG hawezi kuachia kwa Escrow, mara ZZK hawezi kufukuzwa CDM yote yakawa uongo, ni aibu kuwa naye ni mtanzania japo kichwa cha panzi kabisaaaaa
 
Ha ha ha...huwa si mkweli kabisa huyu..
 
Lowassa auze zile nyumba alizomnunulia fredi kule London kwanza halafu ndio achukue fomu ya kugombea urais.

Sheer propaganda. Avoid being on heat all the time, it is dangerous and you might not become pregnant. This may lead you too to do away with an entire generation.
 
FaizaFoxy alikuwa anasema Chadema haiwezi kumfukuza Zitto, na ikithjubutu haitabaki salama.unaonaje kuhusu hili?. je na CDM nao itakula kwao?
Manake wamemtimua ZZK ambaye inadaiwa yupo na Lowassa

Hayo ni makando kando mengine tu,Siwezi kumsemea Zito maana hata UMRI wake haumruhusu awe Mgombea URAIS kwa sasa.
Kuwalinganisha akina Zito, Muhongo na LOWASSA ni sawa na kufanya ulinganifu wa VICHUGUU NA MLIMA KILIMANJARO.

EDDO kaanza maandalizi ya kuingia IKULU siku mingi,NA HAYA NDIO MAJIRA YAKE HASA YAKUINGIA MAGOGONI.

Kama bado huamini subiri utashuhudia LIVE BILA CHENGA,LAIGWANAN LOWASSA AKIAPISHWA.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…