Mkakati wa Mwigulu kuua CHADEMA Iramba

Mkakati wa Mwigulu kuua CHADEMA Iramba

Taarifa za uhakika kutoka ndani ya chama cha mapinduzi wilayani Iramba,zinabainisha kuwa,kuna mkakati mkubwa sana unaoratibiwa na mbunge wa Iramba ndugu Mwigulu Nchemba,wa kuhakikisha CHADEMA inapotea kwenye ulingo wa kisiasa wilayani Iramba.

Mkakati huo ambao tayari umefichuliwa na mmoja wa kiongozi mwandamizi wa CCM Iramba,baada ya kukerwa na mbinu hiyo haramu isiyo na maslahi kwa wananchi,unawahusisha baadhi ya viongozi wa CHADEMA Iramba wenye njaa kali,na ambao wamekuwa wakipinga maamuzi ya cc ya kuwavua nyadhifa zao,dk. Kitila na ZZK.

Kazi ya kwanza ni kuhakikisha ofisi za CHADEMA za wilaya zilizoko katikati ya mji wa kiomboi zinafungwa.

Pili ni kuwatumia viongozi wenye mrengo wa TEAM USALITI,kuanzisha mgogoro wa kiungozi,mmoja wa viongozi hao ni mwenyekiti wa kata ya Ndago.

Mtonyaji wetu toka ndani ya CCM anasema mwenyekiti huyu wa ndago amekuwa akilinda chama kwa kuwafukuza Zitto na Kitila,na amekuwa kinara wa migogoro wilayani Iramba.Viongozi hao wanalipwa fedha na Mwigulu.

source: Uchunguzi binafsi.

Wazee wakutonywa! angalia ukweli wa mambo 2015...........nyie endeleeni kufukuzana!

1619139_591268177615559_1729269732_n.jpg
 
huko ni kutapatapa tuuu, ZZK amefkaje iramba ama imebaki anayekosoa n team usaliti? huko n kuishiwa sera. Polen sana kama mnadhan ninyi n malaika!!!!

Kumekuwa na upotshaji sana toka chadema na wamejipnga kutumia ID zenye majina ya Kiislamu , yenye asili ya kusini,kanda ya Ziwa ili kunyesha kwamba wanaungwa mkono na jamii zote , mkakati huu dhalimu unaongozwa na Makene,Yeriko pamoja na Saanane!
 
Mwigulu haiwezi Chadema, kama anataka kushindana akapeleke ushahidi aliodai mbele ya bunge, kuhusu kesi ya Lwakatale kusingiziwa gaidi, kuwa ana ushahidi duniani na mbinguni, Mwigulu hawezi siasa, anachoweza yeye ni kupanga mikakati ya mauaji ya watu wasio na hatia, kuamrisha polisiccm watoe mafunzo ya kijeshi kwa vijana wa Green guard ili kufanya fujo kwenye uchaguzi.
 
Hana ubavu huo ujue IRAMBA ni ya wasomi, juzi niliteta na vijana kutoka kijiji cha Mwigulu (MAKUNDA) na vijiji jirani kama Kyengege, Kinampanda na Ulemo wakaniambia kuwa Mwigulu alikuwa akitoa fedha ili vijana wachane bendera za CHADEMA lakini kila alipofanya hivyo bendera za CDM zikazidi kuota kama Uyoga. katika kata anayotoka tu ameshindwa kusaidia katika utatuzi wa maji na wananchi wa Kijiji chake ndio wahanga namba moja wa adha hiyo achilia mbali jimbo zima la Iramba na maeneo kama Mtoa, Urughu, mtekente, Dolomoni, Kinalilya, Kisiriri, Ruruma n.k.

Safi kiongozi
 
Yusuph Jr. achana na habariyamujini ni mzee wa Lumumba kwake maisha ni kupokea bk7 sisi tunaotoka noni yalila, yalagano, kibigiri, muntabidyede, uwanza na hata makunda nyumbani kwa Mwigulu twajua ari ya vijana juu ya Chadema na jinsi wasivyomkubali Mwigulu we subiri 2014 mwishoni ataziona hizo bendera atabloo mapigo na mwisho atazimia atakapoambiwa aliyekuwa naibu waziri wa fedha naye kaangukia pua.

Big up
 
Makamanda tulioko iramba tupo tayari kumkabili huyo savimbi,tunachohitaji ni vifaa kama bendera na kadi.
 
mr. El leo atangaza rasmi kuwa amejitoa kugombea urais hataki tena kusikia habari hii.. Sasa kazi kwenu wapambe wake
 
Wewe acha kuleta hisia binafsi humu janvini, sisi wana Iramba hakuna kitu Kama hicho, post za uongo wa kishamba Kama wako wapelekee akina Lema na Mbowe wenye Elimu finyu watakuunga mkono, Msomi kama Mwigulu Nchema tena Waziri hawezi kujishughulisha NA SACOSS .

Sasa mbona povu linakutoka?punguza munkari.
 
Back
Top Bottom