Mkakati wa Mwigulu kuua CHADEMA Iramba

Mkakati wa Mwigulu kuua CHADEMA Iramba

Kinachosikitisha na kushangaza sana ni kuwa watu wenye tabia kama za Mwigulu na wengineo ndiyo wanaopendwa na mkuu wa nchi na ndiyo hao hao wanapewa nafasi za juu na nyeti katika kufanya kuamua mustakabali wa nchi yetu.

Wenye uchungu na azma ya dhati na nchi yao wamekuwa wakiwekwa kando lakini makanjanja na wasiokuwa waadilifu ndiyo wanakuwa wa kwanza kubebwa kwa gharama za wavuja jasho walio wengi. Any way; ilisemwa na wahenga kuwa 'UKITAKA KUJUA TABIA YA MTU ANGALIA MARAFIKI ZAKE NA WALE WALIOMZUNGUKA'
 
Wewe acha kuleta hisia binafsi humu janvini, sisi wana Iramba hakuna kitu Kama hicho, post za uongo wa kishamba Kama wako wapelekee akina Lema na Mbowe wenye Elimu finyu watakuunga mkono, Msomi kama Mwigulu Nchema tena Waziri hawezi kujishughulisha NA SACOSS .
 
Mwigulu fanya toba ya dhati sio kusemewa,wewe unahusishwa moja kwa moja na mauaji mengi hapa nchi.
 
Kwani lisu anakazigani kwenye mkowa wake au yeye nikutembeleya majimbo ya wenzake kwao amesahau? Naona atakuwa amejipima nakuona yeye hana lake tena kwa ni kalikoroga kwa kitila na vijana walikuwa na matumaini nae kazi kwake hiyo mbinafsi hata ofisi zinamshinda kulipia
 
Taarifa za uhakika kutoka ndani ya chama cha mapinduzi wilayani Iramba,zinabainisha kuwa,kuna mkakati mkubwa sana unaoratibiwa na mbunge wa Iramba ndugu Mwigulu Nchemba,wa kuhakikisha CHADEMA inapotea kwenye ulingo wa kisiasa wilayani Iramba.

Mkakati huo ambao tayari umefichuliwa na mmoja wa kiongozi mwandamizi wa CCM Iramba,baada ya kukerwa na mbinu hiyo haramu isiyo na maslahi kwa wananchi,unawahusisha baadhi ya viongozi wa CHADEMA Iramba wenye njaa kali,na ambao wamekuwa wakipinga maamuzi ya cc ya kuwavua nyadhifa zao,dk. Kitila na ZZK.

Kazi ya kwanza ni kuhakikisha ofisi za CHADEMA za wilaya zilizoko katikati ya mji wa kiomboi zinafungwa.

Pili ni kuwatumia viongozi wenye mrengo wa TEAM USALITI,kuanzisha mgogoro wa kiungozi,mmoja wa viongozi hao ni mwenyekiti wa kata ya Ndago.

Mtonyaji wetu toka ndani ya CCM anasema mwenyekiti huyu wa ndago amekuwa akilinda chama kwa kuwafukuza Zitto na Kitila,na amekuwa kinara wa migogoro wilayani Iramba.Viongozi hao wanalipwa fedha na Mwigulu.

source: Uchunguzi binafsi.

so whats wrong with that?
 
Hana ubavu huo ujue IRAMBA ni ya wasomi, juzi niliteta na vijana kutoka kijiji cha Mwigulu (MAKUNDA) na vijiji jirani kama Kyengege, Kinampanda na Ulemo wakaniambia kuwa Mwigulu alikuwa akitoa fedha ili vijana wachane bendera za CHADEMA lakini kila alipofanya hivyo bendera za CDM zikazidi kuota kama Uyoga. katika kata anayotoka tu ameshindwa kusaidia katika utatuzi wa maji na wananchi wa Kijiji chake ndio wahanga namba moja wa adha hiyo achilia mbali jimbo zima la Iramba na maeneo kama Mtoa, Urughu, mtekente, Dolomoni, Kinalilya, Kisiriri, Ruruma n.k.
 
inaonekana hatahao wanaonekana wako tayari kununuliwa ila kwa makamanda wanao jitabuwa ni kazi sana kuuwa chama
 
Mwongo mkubwa wewe.

Yusuph Jr. achana na habariyamujini ni mzee wa Lumumba kwake maisha ni kupokea bk7 sisi tunaotoka noni yalila, yalagano, kibigiri, muntabidyede, uwanza na hata makunda nyumbani kwa Mwigulu twajua ari ya vijana juu ya Chadema na jinsi wasivyomkubali Mwigulu we subiri 2014 mwishoni ataziona hizo bendera atabloo mapigo na mwisho atazimia atakapoambiwa aliyekuwa naibu waziri wa fedha naye kaangukia pua.
 
wewe acha kuleta hisia binafsi humu janvini, sisi wana iramba hakuna kitu kama hicho, post za uongo wa kishamba kama wako wapelekee akina lema na mbowe wenye elimu finyu watakuunga mkono, msomi kama mwigulu nchema tena waziri hawezi kujishughulisha na sacoss .

kumbe we humjui vizuri mwigulu nchemba mbona kuna dada aliyesoma dom sec. Ambaye alikuwa kidosho wa nchemba wakati akisoma mazengo anakiri kabisa kuhusu hiyo sacoss na anamtumia huyo dada kama mwavuli wa kuvuna mahela. Chezea kihiyo wewe?
 
Mwigulu haiwezi chadema.cdm noma waulze wasira na lukuvi wanajua moto wake
 
Wewe acha kuleta hisia binafsi humu janvini, sisi wana Iramba hakuna kitu Kama hicho, post za uongo wa kishamba Kama wako wapelekee akina Lema na Mbowe wenye Elimu finyu watakuunga mkono, Msomi kama Mwigulu Nchema tena Waziri hawezi kujishughulisha NA SACOSS .

Mbinu zote za mwigulu tunazijua,na hatafaulu kuiua chadema iramba.
 
Kwani lisu anakazigani kwenye mkowa wake au yeye nikutembeleya majimbo ya wenzake kwao amesahau? Naona atakuwa amejipima nakuona yeye hana lake tena kwa ni kalikoroga kwa kitila na vijana walikuwa na matumaini nae kazi kwake hiyo mbinafsi hata ofisi zinamshinda kulipia

Ofisi ipi aliyoshindwa kulipia,acha unafiki.
 
Mwigulu, baada ya ukombozi ni mmojawapo wa watakao kamatwa mapema ili kujibu mashitaka mbalimbali ya uvunjaji wa haki za wanadamu na mauaji. Inashangaza mtu anayepingana na wakati, ataumia mwenyewe. Haiwezekani ukarudisha enzi ya chama kimoja sasa. Mtu anayejiita msomi lakini ni mbumbumbu ktk maswala ya kisiasa huyu nina mashaka na usomi wake. Haoni Marekani, Uingeleza kuna siasa za vyama vingi, umeona wapi mtu anachuki dhidi ya chama cha upinzani hata kutema mate bungeni? Huyu mtu mwisho wake ni mbaya sababu ya kutanguliza tumbo lake kwanza.

Ukombozi upi mkuu, au unajiziba fahamu angali ukweli unao;

1619139_591268177615559_1729269732_n.jpg
 
Back
Top Bottom