kuna cha kujifunza hapa.....ilikuaje mpaka ukaacha chuo..give us a storyMawazo mazur sana, ila ongeza saving amount upunguze miaka ya kusubr kujiajiri, six yrs is too long,...mim nimeacha chuo 2015 nikaanza business I thank God nipo mbali aisee..
M10 ni pesa ndogo sana. Ukiishika vibaya inayeyuka kama barafu!Kwa maana ndani ya miaka sita nitakuwa na kiasi kisichopungua 10m na hapo sasa itanitosha kwa kuendeleza biasharakwa maisha ambayo nineyaplan..
dah mkuu Mungu akulipe kwa maneno machache ya dhahabu haya ..Ni vizuri kuweka Mipango kuliko kutoweka kabisa lakini Mipango si uhalisia.
Pia kujiajiri ni more potential kuliko kuajiriwa.
Ushauri wangu.
Wekeza Hizo 150000 za kila mwezi ili uizoee biashara taratibu, Kuanza na mtaji mdogo kutakufanya kuifahamu biashara vizuri, lakini pia utakuwa unapata faida kupitia kiasi hicho kidogo ulicho-invest kuliko kukaa idle bank.
Pili sikushauri kuacha kazi kabla biashara yako haijaweigh more than your employnment opputunity.
Suala la kuacha ajira serikalini or anywhere na kujiajiri huwa linakuja automatic baada ya kuona ajira inakupotezea muda wa kupata kipato kikubwa kupitia biashara zako unazozifanya as part time.
Pia unaweza kuchukua Mkopo wa miaka mitatu ili uwekeze kwenye biashara.
Usidnganyike kuwa kila anayeacha kazi na kujiajiri anafanikiwa, bali juhudi zako binafsi, utashi, ubunifu na nidhamu ndivyo vitakavyokufanya ufanikiwe.
pia hapo mkuu nilikusudia hyo 150 ni kwa ajili kuhifadhi na huku hyo miaka nikiwa napiga viviashara vidogo kwa maana mtaji wa kuanzisha kabiashara kadogo na kukaendeleza nawezakupata nje ya hyo 150 kwa hvyo makusudio hyo milioni kadhaa baadae itumike kukuza biashara mkuu na kuiendeleza tuNi vizuri kuweka Mipango kuliko kutoweka kabisa lakini Mipango si uhalisia.
Pia kujiajiri ni more potential kuliko kuajiriwa.
Ushauri wangu.
Wekeza Hizo 150000 za kila mwezi ili uizoee biashara taratibu, Kuanza na mtaji mdogo kutakufanya kuifahamu biashara vizuri, lakini pia utakuwa unapata faida kupitia kiasi hicho kidogo ulicho-invest kuliko kukaa idle bank.
Pili sikushauri kuacha kazi kabla biashara yako haijaweigh more than your employnment opputunity.
Suala la kuacha ajira serikalini or anywhere na kujiajiri huwa linakuja automatic baada ya kuona ajira inakupotezea muda wa kupata kipato kikubwa kupitia biashara zako unazozifanya as part time.
Pia unaweza kuchukua Mkopo wa miaka mitatu ili uwekeze kwenye biashara.
Usidnganyike kuwa kila anayeacha kazi na kujiajiri anafanikiwa, bali juhudi zako binafsi, utashi, ubunifu na nidhamu ndivyo vitakavyokufanya ufanikiwe.
Mipango yako inasound kitoto sana na kwa 85% inaonekana itashindwa.ni kweli mkuu ila lengo hyo m 10 ni kuendeleza kabiashara ambacho nitakuwa nimekafanya kwa muda wa miaka hii sita
Fanya hivyo but ktk biashara za huku kitaa ukiwekeza hicho kiasi kidogo na trend yake ikawa nzuri ( Kama mzunguko ni mkubwa na unapata faida) from no where utatamani uwekeze zaidi so automatically utajikuta unachukua 150 iliyopo bank na kuiwekeza.pia hapo mkuu nilikusudia hyo 150 ni kwa ajili kuhifadhi na huku hyo miaka nikiwa napiga viviashara vidogo kwa maana mtaji wa kuanzisha kabiashara kadogo na kukaendeleza nawezakupata nje ya hyo 150 kwa hvyo makusudio hyo milioni kadhaa baadae itumike kukuza biashara mkuu na kuiendeleza tu
ahsante mkuu kwa ushauri mzuri nadhani utanifaa mnoooFanya hivyo but ktk biashara za huku kitaa ukiwekeza hicho kiasi kidogo na trend yake ikawa nzuri ( Kama mzunguko ni mkubwa na unapata faida) from no where utatamani uwekeze zaidi so automatically utajikuta unachukua 150 iliyopo bank na kuiwekeza.
Hahahhaha.. VERY TRUE.If you want to change the world, do it while you are still single.
When you get married, you won't be able to change even a TV channel.
Elaboration please ...mwenzio hapa kuna demu ameniganda nimuoe ndani ya miaka miwili ijayo wakati sijafika hata robo ya malengo..If you want to change the world, do it while you are still single.
When you get married, you won't be able to change even a TV channel.