nkondola amon
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 365
- 65
Watu hao wakishajihakikishia kuwa wateule wa CCM hatua inayofuata ni kuchukua fomu za Tume ya uchaguzi na kuzijaza kupitia CCM kisha fomu hizo watakaa nazo mpaka saa moja kabla ya muda wa Mwisho wa kurudisha kwa mujibu wa Tume ya Uchaguzi
Wakati muda ukiwa unayoyoma wagombea hao kwa pamoja watatangaza kujitoa katika kinyang'anyiro hicho kupitia CCM na kutangaza kujiunga na vyama vinavyounda UKAWA wakati huo watakuwa tayari wameshachukuliwa fomu za kuwania majimbo hayo hayo kwa tiketi ya vyama walivyojiunga navyo
Only if unajua kwamba CCM ndio yenye TUME na kila kitu within!! For that uchaguzi utaahirishwa, na watachukuliwa wagombea wengine, huelewi goli la mkono wewe!
Si walikata jina lake wenyewe? Wasiwasi wa sasa wa nini?duuhh sasa hivi anapakaziwa?
Kuua chama dola si kazi rahisi hasa kwa chama kilichopitia mifumo ya kijamaa.Ni rahisi kusambaratisha chama kilichopitia mfumo wa kibepari.Cha kijamaa kama CCM ni shughuli pevu TENA PEVU HASA.Chama cha kijamaa kina wenyewe na mara nyingi hao wenyewe hata huwa hawawi kwenye medani za siasa za msitari wa mbele.Huwa wako kimya tu kwenye maabara za kisiasa.Si rahisi kama unavyodhani lakini shukrani kwa taarifa.