Mkakati wa Lowassa kuiangamiza CCM

Utabiri wa mgombea mzee kufariki naona upo karibu kutimia
 
Mkuu, mkakati huwa ni siri ili kupata ushindi wa kisayansi pacpo kugundulika. Hiyo habari ikifika hapa JFs siyo siri tena.
Shaka langu, Je UKAWA watautumia tena huo mkakati?
 

Jambo hili UKAWA walishatoa dawa yao ya kulizuia tena lilikuja humuhumu JF kuwa watatumia utaratibu wa kusainishana fomu mbele ya wakili ili yeyote atakayekiuka makubaliano kwa kukimbia kabla ya muda wanambufuza mahakamani mbinu hii wanaweza Kuitumia, ila kwa kuwa wao ni chama kongwe watakua advanced na mbinu zaidi!
 
Ccm punguzeni uoga Nape kawaambia hana nguvu sasa mnaogopa nini?
 
Nachojua CCM ndo huwa inaangamiza ni sawa na kufananisha chura kumuua Tembo!
 
Mbona mbinu yao ya kuwasainisha mikataba wagombea wao ilivuja hapa hapa?

Mikataba unayoizungumzia ni baina ya CDM na wagombea wao.
Mada inazungumia mbinu ya kuidhohofisha CCM... Hii mbinu kwel kwa wanaCCM na ukongwe wao, UKAWA watafanikiwa?
 
mkuu CCM ni taasisi yenye nguvu ni Zaidi ya Nape kama unabisha waulize UKAWA kwa nini wameungana dhidi ya chama kimoja tu wao wako 6?

Mkuu kw kuongezea ni Chama Dola...
Kupambana na Dola kunatakiwa Team work.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…