Mkakati wa CHADEMA kuiangusha CCM!

Mkakati wa CHADEMA kuiangusha CCM!

Ccm wanafikiri wanaua upinzani,kumbe ccm ndo inajifiaa hvyoo..
Ccm yenyw ishapasuka,wananchi wamezjua drama za sirikali,. Raia wanahasira mioyoni sku bomu likilipuka,tz itakuwa haikaliki.....
 
Kama ndio mkakati wamefeli...kupoteza majimbo mwaka 1 kabla ya uchaguzi..ni uzembe na kushindwa kulikoshindikana.
 
ramli chonganishi inaonesha Kuna mbunge mwingine atasepa soon
 
Ccm wanafikiri wanaua upinzani,kumbe ccm ndo inajifiaa hvyoo..
Ccm yenyw ishapasuka,wananchi wamezjua drama za sirikali,. Raia wanahasira mioyoni sku bomu likilipuka,tz itakuwa haikaliki.....
Yani hila zinazofanywa na haya majinga zinajulikana.Hapa bunduki tu ndo hamna.Yanatakiwa Yale Shaba haya mpaka yaelewe
 
Wanaccm wengi wanafurahia wapinzani kuhamia ccm na kupewa nyadhifa mbalimbali huku hawajui mkakati Wa cdm ni kupandikiza mamluki wao kila kona ndani ya ccm, soon Bomu linalipuka, viva cdm rip ccm
Unajitekenya. Kwa lengo la kuwaonea wivu. Rudi Nyumbani kumenoga
 
Back
Top Bottom