Mkakati: Lowassa kuhamia UKAWA

sisi hatutaki


ndio tunataka

Lowasa hafai urais(tuwe waungwana na wakweli tu).
Na muarobaini wake ni huyu Mzee! Nasikia amekonga nyoyo za watu na amebomoa karibuni kambi zote!




Sio Lowasa ambaye hafai bali CCM haifai kuendelea kutawala.
Kama mnabisha basi endeleeni kuishabikia CCM na kumpata rais wa awamu ya Tano toka CCM muone kama amani ya hii nchi itadumu chini ya Katiba pendekezwa na waroho na walafi wa CCM.

Kikwete alijitahidi kuwa rais wa watanzania wote na kutaka kuwaletea watanzania katiba bora na usawa bila kujali udini ,ukanda na ukabila lakini hofu ya Chama cha Lusifa CCM ikaibuka na kuvuruga nia njema ya Kikwete na kumgeuka Jaji Warioba pamoja na watanzania waliotaka kuweka misingi bora ya Taifa hili kwa vizazi vijavyo.

CCM wameua misingi ya uwazi na Uwajibikaji na hakuna yeyote ndani ya CCM anayeamini katka uwajibikaji na sheria ya maadili. Kiongozi bora toka CCM ni yule anayeweza kuwagawa watanzania kulingana na dini zao.

Leo umaarufu wa Pinda ni kwa kuwa ni Mkatoliki na sio utendaji wala uadilifu.Lengo ni kupunguza kura za Dr.Slaa kwa kuwahadaa watu kuwa Slaa ni Padri hivyo waislam wasimchague.
Tumeona jinsi Pinda alivyomshawishi Mkurugenzi wa Benki ya Mkombozi ili kutakatisha fedha haram na kutoa sadaka ya fedha haram kwa kiongozi wa dini.
Mpaka sasa hatujasikia tamko lolote toka Baraza la maaskofu Katoliki kuhusiana na uchafu ulioasisiwa na Pinda akishirikiana na Kilaini kupaka matope Kanisa na taasisi yake ya kifedha iliyoonyesha jinsi kanisa hilo linavyotumia ukubwa wake kuhujumu uchumi wa taifa hili na kuwatumia BAKWATA kama chambo cha kuwapooza waislam huku mfumo mbaya ukiendelea kutawala.
Raisi wa nchi anachaguliwa na kakamati ka watu wachache ndani ya CCM.Fomula inayotumika ni ile ile ya zamu ya Wakatoliki na zamu ya waislam watakaoikumbatia BAKWATA.

Wakati umefika sasa kwa UKAWA kuja na sera bora zitakazoimarisha utaifa wetu na kupata viongozi bora wenye maono mapana zaidi. Tuwajenge watanzania kwenye misingi bora ya kuwapata viongozi kwa sera na uwezo.
 
Kwani wee ni ccm!!
Mzee ni ccm damu na jina lake alilopewa la fisadi limeanza kutoweka mawazo mwa ccm wengi
napenda apitishwe kugombea akichaguliwa tu six na washrika wake ajiandae kutoswa rasmi na kusulubiwa!!!
Mimi ni mwananchi wa kawaida
 
Jamani Ikulu ni pahali patakatifu sio kwa kuhonga kunakofanywa wazi wazi hivyo...tuwe wakweli CCM IWE MAKINI NA IMSAIDIE MUNGU SIO KUBEBA WALA RUSHWA NA KUHONGA KUINGIA IKULU.
 
Siasa hutumia sana mtaji wa muda, kama kuna mifumo imara ya kinidhamu ndani ya UKAWA Lowasa anaweza kuwa kiongozi mzuri kwani mifumo hiyo inaweza kumshape, wasiwasi wangu ni historia yake na uwezo wake mkubwa wa KIFEDHA na IMANI yake kwamba yeye tu ndie anafaa kuwa rais.Pia naogopa falsafa waliyonayo viongozi wengi waliopo CCM ya kuingia madarakani ili kulinda historia yao mbaya ya nyuma,lakini pia uwezekano wa CCM kutumia nafasi ya kumjua vizuri Lowasa kuuchafua upinzani.
Ni hayo tu niyaogopayo Mr SUPU YA MAWE
 
Yani huyo Lowasa yeye ni spacial kiasigani, hata atoke ccm asubuhi, jioni aingie Ukawa nakupewa nafasi ya juu kiasihicho!!.
 
mjomba supu ya mawe .sina imani na wewe .friends for lowassa . au ndio msaka tonge kwa muheshimiwa
 
Lowasa naye sijui anachokitafuta japo na wewe mleta mada ni mzushi wa kutupa kabisa.
2005 uchaguzi mkuu kazi yake mliiona na mkaitukuza, 2010 kazi yake ya kumngoa mzee wa Urambo aliyejifanya kuikaanga Serikali kupitia Bunge mkaiona mkaibariki - iweje leo 2015 mnamkana??? haiwezekani kabisa.
 
hatutaki viongozi waliowahi kuliingizia taifa hasara ndo waje huku never on earth, labda awe mwanachama wa kawaida tu na sio kugombea nafasi yoyote ya uongozi vinginevyo arudi huko huko kwa chama chake cha mashetani

Acha sitaki - nataka!Lowasa hafai hafai basi oo sijui awe mwanachama wa kawaida wa kazi gani?Kama ni mwanachama ana haki ya kugombea urais!
 

Ukawa hauijui wewe!
 
Last edited by a moderator:

Aende hata leo! Atakula cha moto, askari wale wale waliokuwa wanamlinda ndo watamchapa mpaka chupi ilowe uhalo. CCM si chama cha kutishiwa. Kazi ya kupata mgombea urais pale kizota basi huyo ndo atakuwa rais wa nchi hizi nyingine unaweka mbwembwe ambazo haziingiii maskioni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…