<br />Mwisho kabisa...title nimeandika tu ila sijui huo msemo unamaanisha nini<br />
na nini chanzo chake....naomba kuchukua fursa hii kuomba kujibiwa kwa <br />
anayefahamu
Mwisho kabisa...title nimeandika tu ila sijui huo msemo unamaanisha nini
na nini chanzo chake....naomba kuchukua fursa hii kuomba kujibiwa kwa
anayefahamu
<br />Hiyo inamaanisha kuwa, cku ya Eid wazaz wanajitahd cku hyo kuandaa either chakula cha pekee kwa familia ili kushirik pamoja cku hyo ndio nafasi pia kwa mkaidi kufaidi, kwa sababu kutakuwa na wagen kwa hyo itakuwa ngumu kwa mzaz kusema lolote mbele yawagen.
kweli mkaidi hafaidi mpaka siku ya eid, kwa hiyo siku hiyo hadi wakaidi wanapata kislope au mkono wa eid
na kwa nini kila mtu akiombwa mkono wa eid anasema minailfaidhina? kama huwa ni siku ya kugawa kwa nini
huwa hawagawi basi