Mkadirie Umri wake

Anaweza akawa kwenye sitini na tano ila sabini hajafika

Usishangae ukiambiwa umri wake ni zaidi ya miaka 90...hivi unafahamu umri wa Rais wetu mstaafu Ali Hassan Mwinyi??? Wazee wa zamani walikuwa wanajitunza sana...Mzee huyo kwenye picha bila shaka hali mi-kuku hii ya siku hizi, wala maembe yanayooteshwa na kuzaa matunda kwa miaka mitatu, pia wanakula chakula bila mafuta ya kupikia ya korie...pia wanakunywa maziwa yanayotokana na ng'ombe halisi siyo ng'ombe wa siku hizi wanaochomwa sindano na nyama yake kuwa nyeupe...Mzee kama huyo kwenye picha matunda yake ni ya porini, na siyo machungwa yanayooteshwa Kibaha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…