pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,964
- 4,253
Unaishi wapi?Habarini,
Jamani leo naomba tujadili hili jambo binafsi, naona gesi ni bora na bei rahisi kuliko mkaa lakini naona hadi leo kuna watu wanapendelea kutumia mkaa wakisema ni bei rahisi kuliko gesi sasa nashindwa kuelewa ni bei ndogo kweli au ni mazoea, naomba tujadiliane kati ya gesi na mkaa kipi bora na bei rahisi?
DaslamUnaishi wapi?
Tuanzie hapo kwanza
Wazo zuri sana. Inatakiwa wasambazaji waone fursa hii.Nimekuelewa hapo kwenye kulipia gas 48elfu kwa mkupuo ni tofauti kweli na ili ya kununua 2000 hapo ni kweli,familia nyingi kuna ugumu kumudu nishati ya gas hasa kwa hii factor...
Nini kifanyike sasa ,cha kufanya:intakiwa wasambazaji wa gas waweze kuwa na mitungi ya size ili kila mwananchi aweze kumudu gharama,ipatikane hata kamtungi ka elf5 to satisfy kila class,kama kweli tunataka kuachana na mambo ya mkaa kabisa
Gesi no rahisi lakini tusisahau economics of scale. Maskini hawezi kununua jiko na mtungi mara moja. Pili kununua mtungi 50,000 taslimu hawezi.Habarini,
Jamani leo naomba tujadili hili jambo binafsi, naona gesi ni bora na bei rahisi kuliko mkaa lakini naona hadi leo kuna watu wanapendelea kutumia mkaa wakisema ni bei rahisi kuliko gesi sasa nashindwa kuelewa ni bei ndogo kweli au ni mazoea, naomba tujadiliane kati ya gesi na mkaa kipi bora na bei rahisi?
Kwa dar bora gesiDaslam
Kg ya gesi kwangu natumia mwaka1Duuh, kuna watu mnafurahia maisha. Huku daslam mkaa wa buku bee ni wa kiduwanzi balaa. Yani kwangu mimi naona gesi ni mkombozi. Ila balaa ikiisha na pesa huna
Ilo gunia linasukuma muda ganiKwa dar bora gesi
Nilipo mm mkaa unauzwa elfu 10 kwa gunia bado kuni zipo zakutosha tu
Nakuona
Me ninalo nilipewa zawadi liko poa sana kuna mdau humu ana yauza laki 1 bei ni kubwa sanaView attachment 1131142
kumbe mm nilijua huoni, hayo majiko mm nimenunua 20.000/ na halikufaa kitu yalitokea Kigoma wakidaI ya USA
Nitakutumia kapicha cha jiko km hayo, nilinunua labda matumizi sikuelekezwa, wife limemshinda nataka kuliuza au scraper
Unafuuuuu.... Hapa tunaangalia unafuu hatuangalii ladhaNdugu wali wa kupikwa na gas hauna radha hila wa mkaa ni mtamu sana asikuambia mtu mkaa unapika fresh
Chiiiiii kapikie kwenye chunguMaharage ya kupikia pressure cooker sio matamu.
Sio kusema tuuu naunga mkono hoja nunua sufuria zile nzito upikike ubwabwa kwa gasNaunga mkono hoja
nimeifuatilia hiyo link ya Mada ya majikoMe ninalo nilipewa zawadi liko poa sana kuna mdau humu ana yauza laki 1 bei ni kubwa sana
Labda haliko sawa langu lina waka freshnimeifuatilia hiyo link ya Mada ya majiko
kwangu mm hayawaki hata chai hayachemshiPata majiko bora kabisa ya kisasa ya mkaa "jikokoa" kwa gharama nafuu
Tunauza na kusambaza majiko bora kabisa ya mkaa na ya kisasa jikokoa kwa gharama nafuu. Ni majiko imara sana, bora, ya kisasa na rafiki wa mazingira. Majiko haya yanatumia mkaa kdg mno na hayatoi moshi kama ilivyo kwa mengineyo. Hakika hutojutia kumnunulia Mama, dada, rafiki, bibi nk...www.jamiiforums.com
nimerudi kwenye umeme na gesi
Khe kumbe Tabora mkaa bei kidogo(5000).Wapi huko hela zote hizoKuna majiko bunifu yana save sana mkaa gunia la mkaa la elfu 80 unatumia miezi 6
Nakubaliana nawe kwa 100%.Kiujumla gesi + friji ni gharama nafuu sana.
Mkuu kwa hili naomba nitofautiane na wewe.Ni ufahamu tu. Lakini gesi ni rahisi sana. Ila sema haipiki maharage
Mkuu ni wewe uliyeandika au kuna mtu kaku'haki'?Ndugu wali wa kupikwa na gas hauna radha hila wa mkaa ni mtamu sana asikuambia mtu mkaa unapika fresh