Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,620
- 5,250
Nahisi ifikapo mwezi wa sita niwe nautizama tu mkaaa kwa majirani nataka pata pleasure cooker piaGesi ni nishati ya bei rahisi sana ukilinganisha na Mkaa.
Nitolee mfano wa familia yangu::
Kukiwa hakuna gesi, hutumia mkaa wa sh 2000/= kwa siku, ambao ni wastani wa sh 60000/= kwa mwezi.
Lakini ninunuapo gesi ya Oryx kilo 15 kwa takribani shilingi 48000/=, hukaa kwa muda wa miezi miwili mpaka mitatu. Ambayo kwa wastani ningetumia mkaa ingekua ni kati ya 120,000/= - 180,000/=.
Japo ugumu wa gesi ni kuchemshia vitu vigumi mfano maharag n.k ambavyo kwangu mimi hununua mkaa hata wa 2000/= na vitu husika vikaCheshwa vingi na kuhifadhi kwa friji.
Kiujumla gesi + friji ni gharama nafuu sana.
Naipata Kwa bei gani hiyo sufuria Mkuu tuko vijijini nielekeze nami niipate maharage yapikike dailyUkitaka kupika maharage nunua pressure cooker....(sufuria sio ile ya umeme)...ukiweka kwenye gas...maharage yanaiva fasta tu...
Mkuu kafanye research kwanza then uje na clarification hizi, hakika utagundua guni hilo la elfu 80 ni mitungi miwili hiyo ya gas na inatoboa hata miezi saba...Kwa unafuu wa uchumi mkaa unatosha ukitumia jiko bunifu gunia la elfu 80 utadumu nalo miezi 6 kama una familia kama hauna ni mwaka 1 na unapika haina yoyote ya chakula bila kujari ugumu wa chakula hicho kuiva
Akikuletea mchanganuo lazima atakwama...maana hilo gunia moja la elfu 80 ni mitungi miwili ya gasi...na kawaida gas itakaa muda mrefu zaidi ya hilo guniaMkuu tupe mchanganuo au mahesabu ya makadirio ili na sisi tujifunze zaidi
Ninalo liongea nina uhakika nalo gas bado hipo juu halafu kuna majiko sanifu mpaka ya kuni...Kuni mbili unapika msosi wa watu 10...Sema jiko sanifu la mkaa lina bei mengi yana anzia laki 1....na ukitumia mkaa mbadala wa kilo moja una uzwa 3500 una kaa wiki nzima..Mkuu kafanye research kwanza then uje na clarification hizi, hakika utagundua guni hilo la elfu 80 ni mitungi miwili hiyo ya gas na inatoboa hata miezi saba...
Akikuletea mchanganuo lazima atakwama...maana hilo gunia moja la elfu 80 ni mitungi miwili ya gasi...na kawaida gas itakaa muda mrefu zaidi ya hilo gunia
yanapatikanaje? na nitayatambuaje?Jiko bunifu ni nafuu sana linatumia mkaa kidogo sana vipande vinne vinatosha kupika maharage na mchele
Kunde ekeke au wewe ndio yule mtengenezaji wa ule mkaa niliposikia ukielezea kule mawingu radioNinalo liongea nina uhakika nalo gas bado hipo juu halafu kuna majiko sanifu mpaka ya kuni...Kuni mbili unapika msosi wa watu 10...Sema jiko sanifu la mkaa lina bei mengi yana anzia laki 1....na ukitumia mkaa mbadala wa kilo moja una uzwa 3500 una kaa wiki nzima..
Swali la kichokozi,mkuu kama una watoto siku ikilipuka,au housegirl akitumia visivyo hatari yake...wengi wanaiogopa gesi kwa sababu ya madhara yakeGesi kwangu ni nafuu + uharaka
Mkaa mpaka ukoleze na bado ufanisi wake ni wa taratibu mno.
Ni ufahamu tu. Lakini gesi ni rahisi sana. Ila sema haipiki maharage
Ohooo tena naliwezea haswaa andaa tumbo tuBiriani la mbuzi ,kachumbari pembeni, juice asilia,ahhh hapo weekend yetu itakua imeenda vizuri
unazingua sheikh mbona matamu tena dakika kumi kitu tayariMaharage ya kupikia pressure cooker sio matamu.
Habarini,
Jamani leo naomba tujadili hili jambo binafsi, naona gesi ni bora na bei rahisi kuliko mkaa lakini naona hadi leo kuna watu wanapendelea kutumia mkaa wakisema ni bei rahisi kuliko gesi sasa nashindwa kuelewa ni bei ndogo kweli au ni mazoea, naomba tujadiliane kati ya gesi na mkaa kipi bora na bei rahisi?
Swali la kichokozi,mkuu kama una watoto siku ikilipuka,au housegirl akitumia visivyo hatari yake...wengi wanaiogopa gesi kwa sababu ya madhara yake
Kuna majiko bunifu yana save sana mkaa gunia la mkaa la elfu 80 unatumia miezi 6
Hakuna apingaye unafuu wa gesi over mkaa; hakuna asiye fahamu hilo. TATIZO ni upatikanaji wa gesi na nishati nyingine MBADALA kama umeme to the majority of our people. Hiyo kwa kweli ndiyo HOJA, ukiachilia mbali gharama kubwa wa majiko ya gesi na umeme! Kwani huwezi kuwa na mtungi wa gesi tu - wa kampuni yoyote ile - nakuanza mapishi. Unhitaji hayo majiko, na bei zake, upatikanaji wake na hata ubora bado ni mtihani mkubwa kwa Watanzania wengi.Gesi ni nishati ya bei rahisi sana ukilinganisha na Mkaa.
Nitolee mfano wa familia yangu::
Kukiwa hakuna gesi, hutumia mkaa wa sh 2000/= kwa siku, ambao ni wastani wa sh 60000/= kwa mwezi.
Lakini ninunuapo gesi ya Oryx kilo 15 kwa takribani shilingi 48000/=, hukaa kwa muda wa miezi miwili mpaka mitatu. Ambayo kwa wastani ningetumia mkaa ingekua ni kati ya 120,000/= - 180,000/=.
Japo ugumu wa gesi ni kuchemshia vitu vigumi mfano maharag n.k ambavyo kwangu mimi hununua mkaa hata wa 2000/= na vitu husika vikaCheshwa vingi na kuhifadhi kwa friji.
Kiujumla gesi + friji ni gharama nafuu sana.
NakuonaView attachment 1130766 duh wewe umeliona wapi hilo jiko la mkaa linalotumia mkaagunia kwa miezi 6 hata km single na huchemshi maharage haiwezekani
tutumie kapicha usikute ni yale ya kuni na mkaa
halafu mtu umepanga ghorofani kuuwasha mkaa mpaka pumba na makaratasi kwanini usitumie gesi na umeme?
Hapana nimewai kuutumiaKunde ekeke au wewe ndio yule mtengenezaji wa ule mkaa niliposikia ukielezea kule mawingu radio